Wazijua siri za Vatican?

Wazijua siri za Vatican?

Baba mkubwa wangu marehem aliwahi niambia kitu cha ajabu kidogo!!

Eti wale mapadri weusi wanaoenda kusomea vatcan hatua ya mwisho kabisa hutakiwa kuliwa tigo,wakikataa tu unaambiwa huna wito,yaani unarudishwa nyumbani kwake huku africa na kuonekana umeshindwa kabisa wito!!

Nilimshangaa sana akaniambia eti kuna mlatin mmoja aliwahi mwambia Hii kitu!!

Kipindi cha papa benedict wa 16 zilivuma sana habari za ushoga KWA mapadri na makasisi hao watawa kwenye vyombo vya HABARI Duniani NDIO nikaanza kuamini yawezekana ni kweli!!
Alitaka uone kumbe ni jambo la kawaida ili akukule kirahisi kimasihara. Alifanikiwa?
 
Wanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.

Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.

Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.

Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Wakisha piga supu ya utumbo hoja zao utumbo utumbo tupu
 
Ni kweli na hufanyiwa hivyo Ikiwa kam Tambiko na Mchezo mwingne ambao hata Wao huwa hawajui ni kwamba kipindi wanafanyiwa hivyo huwa wanarekodiwa,

Ili siku ikitokea unataka kuvujisha siri za Mipango/siri za Vatican basi hatua ya kwanz ni kukuletea video zako ukifanyiwa hivyo na wanakutishia watazivujisha Na hiyo ni Hatua ya kwanz tu ukionesha msimamo ukaivuka hiyo Kinachofata ni KIFO.

Kiufupi wale viongozi wa juu wa Vatican wote ni Wachawi wa Kiwango cha juu na Pili ni Shirika kubwa la kijasusi ambalo linacontrol Dunia katika Nyanja za Elimu,Uchumi, Siasa na DINI.
Wacha endelea kuwaizia kahawa wenzio.
 
Back
Top Bottom