Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Bado hujasemaSiyo siri tena...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujasemaSiyo siri tena...
Alitaka uone kumbe ni jambo la kawaida ili akukule kirahisi kimasihara. Alifanikiwa?Baba mkubwa wangu marehem aliwahi niambia kitu cha ajabu kidogo!!
Eti wale mapadri weusi wanaoenda kusomea vatcan hatua ya mwisho kabisa hutakiwa kuliwa tigo,wakikataa tu unaambiwa huna wito,yaani unarudishwa nyumbani kwake huku africa na kuonekana umeshindwa kabisa wito!!
Nilimshangaa sana akaniambia eti kuna mlatin mmoja aliwahi mwambia Hii kitu!!
Kipindi cha papa benedict wa 16 zilivuma sana habari za ushoga KWA mapadri na makasisi hao watawa kwenye vyombo vya HABARI Duniani NDIO nikaanza kuamini yawezekana ni kweli!!
Hahahahaha,dah watajilaumu sanaWalikosea sana kumpa siri mtu huyu
Nasubiri JIBUNazitoa kimanyantumanyantu.
Maisha ya Yesu kati ya umri wa miaka 13 mpaka 29...kwa nini yamefichwa?JIBU LIPO.
Sana sio kidogo 😅Hahahahaha,dah watajilaumu sana
Akikujibu nitagNasubiri JIBU
TunasubiriSana nadondosha kipande kimoja kimoja
Wakisha piga supu ya utumbo hoja zao utumbo utumbo tupuWanachumba chini ya ardhi kilichohifadhi nyaraka kadhaa hasa vitabu 80...vilivyo ondolewa kwenye Bible original.
Kamwe hawaruhusu mtu chini ya miaka 75 kusoma nyaraka hizo..Tena lazima uaminike sana.
Wengi wanaosoma nyaraka hizo hupata dimensia.
Pia ni wazi Mariam Magdalena alikuwa ni mke wa Yesu ndiye anayeonekana kwenye ile picha ya the last supper.
Kabisa........ushahidi upo.Kuna uzushi kuwa yule papa aliyefariki mda mfupi baada ya kutawazwa alitaka kuweka vitu hadharani.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Ondoa kichaa chako humu. Mnatuharibia JFMimi ni hazina ya data nyeti duniani.
I'm a global citizen
Wacha endelea kuwaizia kahawa wenzio.Ni kweli na hufanyiwa hivyo Ikiwa kam Tambiko na Mchezo mwingne ambao hata Wao huwa hawajui ni kwamba kipindi wanafanyiwa hivyo huwa wanarekodiwa,
Ili siku ikitokea unataka kuvujisha siri za Mipango/siri za Vatican basi hatua ya kwanz ni kukuletea video zako ukifanyiwa hivyo na wanakutishia watazivujisha Na hiyo ni Hatua ya kwanz tu ukionesha msimamo ukaivuka hiyo Kinachofata ni KIFO.
Kiufupi wale viongozi wa juu wa Vatican wote ni Wachawi wa Kiwango cha juu na Pili ni Shirika kubwa la kijasusi ambalo linacontrol Dunia katika Nyanja za Elimu,Uchumi, Siasa na DINI.
Zaidi ya kawaida yupoje au kwakuwa ni mzungu?Tatizo sio kuambiwa na Mtu ila Ni Unaangalia na Mtu gani anakwambia hivyo na yupo katika Nafasi Gani. Mi sijaambiwa na Mtu wa kawaida,
Aliyeniambia ni Zaidi ya Mtu wa Kawaida.
Wewe huna uwezo wa kujua rangi ya ini lako na unatembea nalo muda wote utajua siri za mbingu na dunia?! acha kuchosha akili yako mkuu hayo sio level yetu kabisa.Jitahidi kuitambua dunia kwa uwezo wako uliojaaliwa na sio kukaririshwa
Kwhy wewe unazijua siri za mbingu na dunia😂😂Wewe huna uwezo wa kujua rangi ya ini lako na unatembea nalo muda wote utajua siri za mbingu na dunia?! acha kuchosha akili yako mkuu hayo sio level yetu kabisa.