Waziri aagiza BASATA kushughulikia mgogoro wa uteuzi wa Steve Nyerere na Wasanii

Waziri aagiza BASATA kushughulikia mgogoro wa uteuzi wa Steve Nyerere na Wasanii

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, leo Jumanne Machi 22, 2022 amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kulitaka Barasa la Sanaa Tanzania (BASATA) kuwaita viongozi wa Shiriko la Muziki Tanzania kuhusu mgogoro unaoendelea wa Steven Nyerere kuteuliwa kuwa msemaji kisha “kushauri ipasavyo kama wasimamizi!”

FOcVf5dWQAEmAMP.jpg

Chanzo: Mwanahalisi

Pia soma: Steve Nyerere: Sing'oki kihuni, kikao chao ni kinyume na Katiba. Nampa Mbunge saa 48 aombe radhi
 
Ndo maana Diamond anawadharau maana hawajielewi kabisa hawa jamaa
 
Kama vipi huyu steve baada ya kumdrop wamchape viboko hata 12 tu kwa usumbufu huu
 
Steve mwenyewe anajinasibu eti alifatwa mara tatu kuchukua iyo nafasi akakataa,cha ajabu hatakiwa lakini bado kang'ang'ania.
 
Uwezo wa kujenga hoja F
Vision F
Mihemko A
Visasi na Vichambo A
Masihara A
Utunzaji Siri F (nilifuatwa mara 3 kushawishiwa kuwa kiongozi/msemaji wa SMT[emoji24])
Hafai kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom