JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Eh wangekomalia mambo mingine pia kama hivi kweli nchi ingepiga hatuaMambo mengine ndio maana Putin anashikwa na hasira!
[emoji16][emoji16][emoji16]Mambo mengine ndio maana Putin anashikwa na hasira!
Kama vipi huyu steve baada ya kumdrop wamchape viboko hata 12 tu kwa usumbufu huu
Hivi Nyerere stivu ndio wakuhangaisha watu kiasi kile? Hilo jambo lina mkono wa mtu mzito nyuma yake.Mambo mengine ndio maana Putin anashikwa na hasira!
Je Ali Kiba?Ndo maana Diamond anawadharau maana hawajielewi kabisa hawa jamaa