Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri ni nani kuagiza anyang'anywe leseni? Kwani waziri kazi yake ni kuhukumu? Kwa nini asiachie vyombo na taratibu zilizowekwa kufanya kazi?😂 jamaa kazingua sana. Ule ni utovu wa nidhamu kupitiliza.
Kwa bahati mbaya sana nimeshuhudia matendo ya huyo askari, kama ni mzazi wa mtu, Mungu amsaidie sana.Wote mnaomtetea huyo DEREVA vichwa vyenu vimejaa MAVI.
Mkuu hii tabia ya wanasiasa kuingilia kila sehemu tusiiendekeze. Waziri ndiyo mtoa hukumu kwa madereva wanaokosa? Si kuna taratibu na vyombo vya sheria vyenye jukumu hili?Angetoa agizo pia yule mtoto wa waziri mwenzake naye anyanganywe leseni.
Ila tii sheria bila shurti jamaa naye kazingua
Kwakweli amefanya makosa. Unless kama gari lilifeli breki.Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.
Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”
upo sahihi mkuu, nawajua wawili waliogongwa .Pana watu wana Stress balaa unawaona wanaendesha huku hawapo hapo wapo Trafik wamewahi kugongwa na wengine kupoteza maisha kwa hizo mambo...sheria ya waziri kuchukua leseni ya Mwananchi kaitoa wapi...
very bad!Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani.
Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na leseni tuliyompa anyang’anywe kabisa, haiwezekani askari yupo kazini anakuzuia wewe unampelekea gari, nina wasiwasi na akili za madereva wetu sasa hivi, lazima atakuwa na shida mahali.”