Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Oct 15, 2021 #1 Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Oct 15, 2021 Thread starter #2 Waziri huyo alikuwa wa Sheria na katiba miaka ya mwanzo ya utawala wa mwalimu.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Oct 15, 2021 #3 Superbug said: Waziri huyo alikuwa wa Sheria na katiba miaka ya mwanzo ya utawala wa mwalimu. Click to expand... Kwann usingekazia kwenye bandiko lenyewe ,vipi haraka hiyo uko lumumba bado hutaki wajue unatumia JF
Superbug said: Waziri huyo alikuwa wa Sheria na katiba miaka ya mwanzo ya utawala wa mwalimu. Click to expand... Kwann usingekazia kwenye bandiko lenyewe ,vipi haraka hiyo uko lumumba bado hutaki wajue unatumia JF