🤣🤣🤣Ni story tu au sio... UshazoeaDunia ya sasa habari bila picha/video clip sawa na takataka tu.
Asante
Matajiri wa makambako ......kafara pia wanazo sana ....Mungu muweza sana wa yoteYule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na TBC.... Hongera sana kwake,ameweza na Kazi inaendelea...
Wabongo tunaenda na upepo [emoji1]Uchunguzi wa case yake utaendeleaje bila Yeye kujiuzuru?
Mkuu denooJ unakumbuka hili suala pia? Lili trend sana JF lakini Leo hii nani analikumbuka?Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na TBC.... Hongera sana kwake,ameweza na Kazi inaendelea...
wamshauri mke wake asiwe anamkimbiza vile bwanake akiwa na michepuko, angemuua bure.Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na TBC.... Hongera sana kwake,ameweza na Kazi inaendelea...
Picha ya ajali au Viwanja vya nane nane Mbeya?!Tupia walau kapicha