JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sasa, kama ana pesa, zake, kwanini asichunge kwa kutumia hiyo ndinga, V8 kitu gani bro, 250M sio nyingi kiviiiiile, we, kama, huna, wenzio wanazo.View attachment 2881463
Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana .
Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko porini , sijui kama mnanielewa ?
Yaani Nchi hii ambayo 90% ya Raia wake wanaitwa Wanyonge V8 inachungia ng'ombe !
Nakulilia Tanzania .
Tuache kusema watu vibaya, kama una ushahidi kaiba, nenda polisi,