Ni kaka yakeHuyu Marehemu ana undugu na aliyekuwa Mbunge mtukutu wa Mbeya mjini?
Maarufu Kama Sugu??
Mbingu na dunia.Huyu Marehemu ana undugu na aliyekuwa Mbunge mtukutu wa Mbeya mjini?
Maarufu Kama Sugu??
Huyu Marehemu ana undugu na aliyekuwa Mbunge mtukutu wa Mbeya mjini?
Maarufu Kama Sugu??
Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe. Alikuwa kiongozi mzuri, msikivu na mwenye busara. Alikuwa Katibu Mkuu wetu Wizara ya Kilimo
Nimepata habari kuwa Profesa Simon Mbilinyi amefariki dunia hospitali ya Agakhan. Marehemu aliwahi kuwa waziri enzi za Mkapa kisha akajiuzulu.
Amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na pia amewahi kuwa Balozi Ubelgiji na Lexambourg kuanzia mwaka 1985 - 1989 alipokuja kubwagwa na Jenista Mhagama.
View attachment 1644634
Profesa Simon Mbilinyi enzi za uhai wake akiwa na Mkewe Profesa Marjorie Mbilinyi
RIP Prof Mbilinyi.