TANZIA Waziri Awamu ya Tatu na Balozi Mstaafu Profesa Simon Mbilinyi afariki dunia Hospitali ya Agha Khan

TANZIA Waziri Awamu ya Tatu na Balozi Mstaafu Profesa Simon Mbilinyi afariki dunia Hospitali ya Agha Khan

Profesa Mbilinyi nakumbuka wakati akiwa Waziri wa Fedha naibu wake alikuwa Kilonzo Mpologomyi, Muha wa Kigoma mjanja mjanja hivi...
Jamaa alikuwa very smart hasa pale anapojibu maswali ya nyongeza Bungeni....

Rip, Mh Profesa Saimon Mbilinyi...

Inasemekana ile KIBADAMO Hotel pale Ubungo ni yake...
Na Kuna KIBADAMO Hotel pale makambako ni Nzuri kuliko hata ya ubungo.
 
Rest In peace.

Kuna wakati Kama alipatwa na kashifa, za kuponda Mali isiyo uma.
 
Kama zote ni hotel zake basi kawaacha "wana" vizuri...
Mwanae mmoja alichukua rangi ya baba yake i mean nyeusi walivyoenda vacation ulaya akaugua akafa ndugu wakadai mzungu kala njama kisa dogo mwesi .,tuache uzushi wabongo
 
Back
Top Bottom