TANZIA Waziri Awamu ya Tatu na Balozi Mstaafu Profesa Simon Mbilinyi afariki dunia Hospitali ya Agha Khan

TANZIA Waziri Awamu ya Tatu na Balozi Mstaafu Profesa Simon Mbilinyi afariki dunia Hospitali ya Agha Khan

Uongo wake umedhihirika na kwa kuwa anataka Watanzania waamini kwamba hakuna corona Nchini, sasa ugonjwa unafichwa kwa makusudi kitu ambacho ni hatari sana kwani Watanzania wengi hawachukui tahadhari husika. Na hii Xmas na mwaka itakuwa hatari tupu!
Malaika Mkuu arudie tena maombi ya siku tatu.
 
RIP Prof. Mbilinyi.

Mwaka huu unachujua washua wengi.

Prof. Mbilinyi
President Mkapa
Dr. Mahiga

Hao mabalozi wa zamani tu.
 
Viongozi wengi hufia AGHA KHAN:-

1. Hawaiamini Muhimbili?

2. Hawataki wajulikane wanaumwa, kuna usiri flani pale Agha khan.?

3. Muhimbili haina madaktari wazoefu kama agha kahan?

4. Huduma bora zipo hospitali binafsi zaidi ya huko Serikalini?


NOTE: Viongozi wengi wanao ingia agha Khan wazima hutoka maiti, siwataji ila mna wajua.
Ukiingia toi za MNHH unazidi kuumwa
 

Nimepata habari kuwa Profesa Simon Mbilinyi amefariki dunia hospitali ya Agakhan. Marehemu aliwahi kuwa Waziri enzi za Mkapa kisha akajiuzulu.

Amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na pia amewahi kuwa Balozi Ubelgiji na Lexambourg kuanzia mwaka 1985 - 1989 alipokuja kubwagwa na Jenista Mhagama.

View attachment 1644634
Profesa Simon Mbilinyi enzi za uhai wake akiwa na Mkewe Profesa Marjorie Mbilinyi​

RIP Prof Mbilinyi.

Pia soma
R.I.P
 
Back
Top Bottom