ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kumbe jenista mhagama kaanza kuwa mbunge Toka 1989
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi hizo na Mpologomyi wake ,lakini marehemu hasemwi vibayaRest In peace.
Kuna wakati Kama alipatwa na kashifa, za kuponda Mali isiyo uma.
Huyu wa kwetu hafiki huko mkuu relaxIla waovu watesaji uvuka hapo Ili wazidi umiza watu
Mola atende kadri ya mapenzi yakeHuyu wa kwetu hafiki huko mkuu relax
Nadhani ni vyema wasomi kama hawa wakifa tujue mchango wao kwa taifa letu ili tuweze kuwaenzi.Miongoni mwa WASOMI WA NCHI YETU adhimu.
Kuna msemo usemao "aondokapo msomi,ni huzuni mpaka kwa MITI."
Rip msomi mzee Prof. S.Mbilinyi!
THE WORLD IS NOT OUR HOME.
Umewasahau Nina na LyungaiBaba wa Nelly Mbilinyi RIP
kile ni kitu maaluma kinavuta sio mchezo watu wanapagawaSio kweli Jenista kaingia bungeni mwaka 2000
Kifo hakiepukiki, ila huyu jamaa alihusika serikali ya mkapa, kuua mashirika ya umma na kuuza mali za serikali
Nimepata habari kuwa Profesa Simon Mbilinyi amefariki dunia hospitali ya Agakhan. Marehemu aliwahi kuwa Waziri enzi za Mkapa kisha akajiuzulu.
Amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na pia amewahi kuwa Balozi Ubelgiji na Lexambourg kuanzia mwaka 1985 - 1989 alipokuja kubwagwa na Jenista Mhagama.
View attachment 1644634
Profesa Simon Mbilinyi enzi za uhai wake akiwa na Mkewe Profesa Marjorie Mbilinyi
RIP Prof Mbilinyi.
Pia soma
Viongozi wengi hufia AGHA KHAN:-

NDIOUlitakaje? Waishi milele?
Kuna jamaa anajiita RIP father nelly...Baba wa Nelly Mbilinyi RIP