Waziri Aweso: Familia yangu ni masikini, nimepata Uwaziri kutokana na elimu

Waziri Aweso: Familia yangu ni masikini, nimepata Uwaziri kutokana na elimu

Maskini anamiliki Shangazi mbili Leo yupo huku kesho kule .
Anaenjoy tu mpiga dili huyu.
 
Kwa kiasi kikubwa umasikini wa Watanzania unasababishwa na watawala chini ya chama cha Mapinduzi (CCM).

Usimamizi mzuri wa rasirimali za Tanzania ungeweza kabisa kuwafanya Watanzania wote kuishi maisha mazuri na kuipenda nchi yao.

Mwenyezi Mungu ametubariki kila kitu lakini wenzetu wachache wenye dhamana wameamua kuwa mashetani na kujimilikisha kibabe neema hii.

Leo mwanasiasa au kiongozi wa umma unapotoka mbele na kuwaambia watu eti umetoka familia masikini hadi kuwa Waziri, hiyo sio sifa yakuwaambia watu baadala yake kupitia cheo ulichonacho jaribu kuwarahisishia Watanzania maisha na kuwahimiza kufanya kazi kwa bidii.
 
Back
Top Bottom