Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

Waziri Aweso tusaidie Tanga tupate maji, Tanga Uwasa wanatutesa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Leo ni siku ya nne hakuna maji kabisa . Mvua zinanyesha na Tanga Uwasa Walikuwa wanasingizia ukame. Sasa mvua zipo za kutosha. Hakuna maji kabisa, siku nne!

Tanga Uwasa hawana wa kumwogopa, hawana wa kuwakemea ndiyo maana wanafanya wanavyojua!
 
Kwani kuanzia m/kiti wa mtaa hadi mbunge si wa ccm? Inamaana ilani yao haisemi Chochote kuhusu maji? Wakati ule tuliambiwa ukichagua upinzani hupati maendeleo sasa why?
 
Leo ni siku ya 6 bila maji na hatujaambiwa sababu ni nini; au kuopewa taarifa ya kutunza maji. They do not care at all. Inaezekana ni uzembe maana hakuna wa kuwakemea kama zamani.

Please tusaidie maana chanzo cha maji Amani maji yapo tele!
 
Back
Top Bottom