Waziri Aweso tusaidie, wakazi wa Dar asilimia kubwa hatuna maji

Kwa walioko dar mtaani kwako kuna maji??
Wilaya ya ubungo kwetu Hali tete jamani tusaidieni
Baada ya kujenga na kuhamia Wilaya hii (ninaishi 4km kutoka ofisi ya DC, Mkurugenzi wa Ubungo, na DAWASA Kibamba), nilijifunza kutunza maji. Siku 2 hizi kweli maji hakuna. Ila huwa hayazidi siku 3, yanatoka. Kwangu hata yakatike wiki, bado maji nitakuwa nayo. Changamoto ukiwa na familia kubwa.
 
Hawakutoa taarifa yaani .heri yako
 
Kwa walioko dar mtaani kwako kuna maji??
Wilaya ya ubungo kwetu Hali tete jamani tusaidieni
Mbezi Makabe Mpakani mtaa ninaokaa tangu kuumbwa misingi ya ulimwengu hakuna maji, tunanunua tu... elfu 15 kwa tank la lita 1,000
 
Hizi kauli zinafanya waone kama kuwaletea huduma ni hisani na sio haki.

TRA wakifika dukani kwako hujalipa kodi hawabembelezi.
 
Luguruni huwa 20,000/- kwa lita 2000.
Hongereni, labda kwa vile nyie mpo karibu na Tank kubwa. Sisi lita 2000 ni buku 30, na wanaleta kwa kuringa kweli kweli.... unaweza ukaagiza leo ukaletewa wiki ijayo...
 
Back
Top Bottom