Waziri azuia majaribio ya mbegu za GMO

Waziri azuia majaribio ya mbegu za GMO

Safiii haya matakataka big no
FB_IMG_16107430671831267.jpeg
FB_IMG_16107430391266409.jpeg
FB_IMG_16107431057059228.jpeg
FB_IMG_16107426979112930.jpeg
 
Mkuu, hili swali nimelijibu kwenye post zangu za zilizotangulia huko juu.

Anyway nitarudia tena kwa mara ya mwisho. Nikijikita kwenye mfano wako wa mtoto chotara wa wazazi wa kiafrika ma wa kizungu.

Yai la kike (ovum), lina central nucleus ambayo inabeba genetic makeup za mama. Hili yai la kike (ovum) linaporutubishwa na mbegu ya kiume ambayo pia imebeba genetic make up ya baba, ndio huamua characteristics of the offspring. Sasa kama baba ni muafrika, na mama ni mzungu, basi genetic modification hufanyika wakati wa fertilization. Ni wakati huu ndio genoma ya mama, na genoma ya baba zinakua naturally manipulated kumtengeneza mtoto ambae ni chotara.

Kusingekua na genetic modification hapa, basi mtoto asingekua chotara. Ni either angekua muafrika pure kama baba yake, au mzungu pure kama mama yake.

Hii process inafanyika naturally, ndio maana hakuna specific selection of traits from the original organisms (wazazi). Ila ingekua ni GMO, basi hapa wataalam wangechagua specific traits wanazozitaka kwa huyu offsprings, kama rangi ya ngozi au aina ya nywele.

Kua na usiku mwema!
Sasa maelezo marefu halafu hakuna ulichojibu, hivi ndio kiwango chetu cha elimu kimeshuka hivi? Nimekuuliza, kwakuwa Genetic modification ni the alteration of genetic make up of an organism, ni organism yupo kati ya hao watatu ambao Genetic make up yake imekuwa altered, baba, mama au mtoto? Badala ya kujibu swali unarudia porojo zile zile ulizotaja nyuma..., nisije kuwa najadiliana na taahira hapa then niwe napoteza muda tu..; hilo swali liko short and clear, jibu short and clear.

Na pia, wakati wa fertilization hakuna manipulation inayofanyika kwa genome ya yeyote yule, ni muunganiko wa chromosome 23 za baba kama zilivyo (bila alteration from the original mitosis ) na pia chromosome 23 za mama kama zilivyo (bila alteration from the original mitosis) na kutengeneza genome mpya ya chromosome 46, original as was from the parent cells, hakuna alteration au manipulation whatsoever, ni upotoshaji mtupu ulioeleza hapo.

Halafu mtoto kuwa na baba mzungu na kuwa na mama muafrika haimaanishi kwamba hawezi kuwa muafrika kimuonekano au kuwa mzungu kimuonekano, hiyo phenotypic manifestation inaweza ikawa yeyote kati ya hizo, half cast, mzungu au muafrika. Mimi mwenyewe, Mama yangu ni mzungu pure, na baba yangu mi muafrika, na kimuonekano mimi ni MuAfrika 100% kama baba yangu, sasa sijui unazungumza utopolo gani wewe..; kwahiyo unataka kusema mimi ni GMO, yaani Genetically Modified Organism, mimi??!

Baba, mama, au mtoto, ni organism yupi ambae Genes zake zimekuwa altered?
 
Well, nilidhani tunafanya mjadala wa kistaarabu kama watu waliostaarabika. Sioni sababu ya kuniita tahira, na sidhani kama kuna tahira anaweza kuandika haya ninayoyaandika mimi. Tusikoseane heshima mkuu kwa mambo madogo kama haya!

Peace be upon you!
 
Safi sana muheshimiwa waziri kwa uamuzi huo ila pia hicho kituo cha uchunguzi kinafanya nini mikocheni? Kihamishie mashambani huko
 
Well, nilidhani tunafanya mjadala wa kistaarabu kama watu waliostaarabika. Sioni sababu ya kuniita tahira, na sidhani kama kuna tahira anaweza kuandika haya ninayoyaandika mimi. Tusikoseane heshima mkuu kwa mambo madogo kama haya!

Peace be upon you!
Pumzi ikirudi njoo ujibu swali, kati ya baba, mama au mtoto, ni yupi kati ya hao organism watatu ambao unadai wanakuwa genetically Modified katika hybridization ya Mzungu na Muafrika?
 
Back
Top Bottom