Kweli Kabisa mwaka Jana Wakenya wamenunua mahindindebe sh.8000 around mei nanjuni maeneo ya Manyara.Baadaye walewale waliouza wakaja kununua mahindi ya msaada😁wa Serikali Kwa 17,000/ huku kwenyebsokonikiwa 22,000/ yaani kama mchezo wa Pwagu na Pwaguzi!Huyo bibi hawezi kulijua hili, anayenufaika na bei hizi ni mlanguzi anayejiita mfanyabiashara na madalali wa mazao na labda wakulima wakubwa ambao ni wachache.
Wakulima wadogo ambao ndo wanalisha nchi hii wanaishia kuuza mazao shambani kwa bei chee, wakibahatika kuvuna watapewa bei ndogo na walanguzi ambao pia wanabana mizani au kujaza lumbesa.