Huyo bibi hawezi kulijua hili, anayenufaika na bei hizi ni mlanguzi anayejiita mfanyabiashara na madalali wa mazao na labda wakulima wakubwa ambao ni wachache.
Wakulima wadogo ambao ndo wanalisha nchi hii wanaishia kuuza mazao shambani kwa bei chee, wakibahatika kuvuna watapewa bei ndogo na walanguzi ambao pia wanabana mizani au kujaza lumbesa.