Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwamilikisha mashamba hawa vijana wa Instagram na wapenda connection ni kupoteza muda. Bashe angeandaa mfo mzuri wa masoko ili waliojiajiri kwenye kilimo wauze kwa faida.Mkuu si wamesema wanawapa hayo masamba kwa kuwamilikisha labda mim ndio sijaelewa hiyo concept ya ile misheni
Bashe anasema watauza moja kwa moja nchi za nje, kwa yeyote watakayetaka kumuuzia bila ya uhusika wa serikali!Tanzania tatizo la kilimo ni moja tu. SOKO LA MAZAO YA WAKULIMA.
MPaka sasa mna order ya nchi gani au kiwanda gani au kampuni ipi imewambia kuwa limeni sisi tutachukua hayo mazao yenu? Sawa Tz hatuna mazao bora, je nchi nyingine za africa vp ?mbona nao ni kama sisi tu.Kaka Allen, soko la mazao sio tatizo kabisa, tatizo ni "QQC" (quality, quantity and consistence ya mazao yetu). Hatuzalishi mazao katika ubora na wingi unaowezesha economies of scale itokee na mwendelezo wa hicho kinachozalishwa na hivyo kutoa nafasi ya kutwaa soko la kimataifa.
Huwezi kuwalisha watu mchele kwa msimu. Ima uzalishe mara 3-4 kwa msimu au uzalishe kwa msimu mmoja lakini kwa kiwango kikubwa chenye kutosheleza mahitaji ya mwaka mzima. Program ya BBT ni best program ever katika nchi yetu as long uzalishaji ukifanyika bila kutegeme mvua na kwa wingi kukidhi mahitaji ya containers (sio gunia).
Unapingwa kwa sababu mbele ni kiza kinene.Si ujiulize yapo makampuni makubwa miaka nenda rudi yanafanya biashara ya mazao lkn kwanini waende kuvizia hayo mazao kidogokidogo ya mkulima wa jembe la mkono na wasianzishe mashamba yao wenyewe wakawa na uhakika wa biashara yao? Ni kampuni gani umesikia imeanzisha kilimo cha kahawa, korosho, mbaazi, ufuta, zabibu nk. Lkn nenda wakati wa mavuno uone makampuni yavyopigana vikumbo kununua hayo mazao.Kila kitu kinapingwa. Hii nchi ngumu sana, mnapinga kila kitu.
Waaache wajaribu serikali zilizopita zilileta mbinu nyingi, nao wajaribu.
Msisahau kilimo kwanza wakulima mlipewa na mbolea za ruzuku za mabilioni, kuna ubaya gani vijana kuwezeshwa. Mbona vijana mnapigana vita wenyewe?
Ombeni mradi huo upanuliwe nchi nzima sio kuupiga vita.
Hata wakilima kwa tractor bado jembe halikwepeki!Kwani amesema watalima kwa kutumia majembe? I hope ni matrekta
Alaumiwe alioua soko la korosho sio basheNi mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao.
*Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa.
*Tushaona mahindi yakioza huko Songea na Katavi.
*Tushaona wakulima wa korosho wakiuza korosho kwa bei ya hasara ama kugomea masoko huko Mtwara.
*Tushaona wakulima wakikata mibuni na michai kwa bei mbaya ya mazao hayo.
Kilimo kimeshindwa kuvutia vijana kwasabb 2 tu.
1. Kukosekana kwa masoko ya uhakika ya kumfanya mkulima apate faida (sababu kubwa zaidi hii)
2. Upatikqnaji wa uhakika wa pembejeo na viwatilifu.
Kama wakulima wangekuwa wanapata faida hakuna kijana angekuwa bodaboda, machinga ama mamantilie. Wote wangejikita kwenye kilimo. Shughuli yoyote ya kiuchumi yenye faida huvutia watu.
Kwahiyo siyo kwamba vijana hawataki kilimo kwasbb ya ukosefu wa mitaji....NO.
Nani alitoa mafunzo na mitaji kwa bodaboda, mamantilie na machinga waliozagaa nchi nzima?
Wasomi wa SUA waliomaliza miaka dahali pamoja na maprofesa wao mbana hatuoni wakitumia utaalamu wao kuendesha mashamba makubwa??
Bashe ktk hili unatapanaya tu hela zetu za Kodi lkn zoezi la BBT halitafanikiwa wala halitakuwa endelevu. Kilimo hakiendeshwi hivyo.
Kazi ya serikali kupitia wizara ya kilimo iwe ni kujenga mifumo itakayoifanya shughuli ya kilimo kwenda sawa na kuvutia watu wengi zaidi.
NIMEMALIZA.
Subirini matokeo acheni tabia ya pingapinga kila kitu. Mnalaumu wakati mawaziri wanafanya business as usual. Sasa huyu amekuja na creativity yake naye mnamlaumu. Sijui mnataka nini?Sizungumzii vijana wote wa participate Kwa pamoja, mfano Hilo shamba darasa linalenga hasa zao la zabibu, Sasa kuchukuwa vijana ambao wanatoka maeneo ambayo haya zilishi Hilo zao Kwa wingi ama kabisa hawazalishi,
Sasa hapo tija itatoka wapi ndugu
Bashe hana mda wa kuwasikiliza nyie loosers.HUYU BASHE AMEFELI NA HAKUNA KIONGOZI MNAFIKI KAMA JAMAA.
AMERUHUSU MASOKO YA KIGENI YAINGIZE BIDHAA TOKA NJE NDANI YA TANZANIA HUKU WAKULIMA WA TANZANIA WAKIWA WANAKOSA SOKO.
mfano, HUKU KAHAMA KUNA MCHELE TOKA THAILAND UMETAPAKAAA SANAAAA, HUKU MCHELE WA WAKULIMA WADOGO UKIKOSA SOKO
niliwaambia ni suala la muda tu wale vijana wakisha maliza kula hela ya semina na wakishakabidhiwa vipande vya shamba kuanza kazi wataondoka mmoja baada ya mwingine bila kuagaNi mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao.
*Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa.
*Tushaona mahindi yakioza huko Songea na Katavi.
*Tushaona wakulima wa korosho wakiuza korosho kwa bei ya hasara ama kugomea masoko huko Mtwara.
*Tushaona wakulima wakikata mibuni na michai kwa bei mbaya ya mazao hayo.
Kilimo kimeshindwa kuvutia vijana kwasabb 2 tu.
1. Kukosekana kwa masoko ya uhakika ya kumfanya mkulima apate faida (sababu kubwa zaidi hii)
2. Upatikqnaji wa uhakika wa pembejeo na viwatilifu.
Kama wakulima wangekuwa wanapata faida hakuna kijana angekuwa bodaboda, machinga ama mamantilie. Wote wangejikita kwenye kilimo. Shughuli yoyote ya kiuchumi yenye faida huvutia watu.
Kwahiyo siyo kwamba vijana hawataki kilimo kwasbb ya ukosefu wa mitaji....NO.
Nani alitoa mafunzo na mitaji kwa bodaboda, mamantilie na machinga waliozagaa nchi nzima?
Wasomi wa SUA waliomaliza miaka dahali pamoja na maprofesa wao mbana hatuoni wakitumia utaalamu wao kuendesha mashamba makubwa??
Bashe ktk hili unatapanaya tu hela zetu za Kodi lkn zoezi la BBT halitafanikiwa wala halitakuwa endelevu. Kilimo hakiendeshwi hivyo.
Kazi ya serikali kupitia wizara ya kilimo iwe ni kujenga mifumo itakayoifanya shughuli ya kilimo kwenda sawa na kuvutia watu wengi zaidi.
NIMEMALIZA.
HapanaNi mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao.

Your foot!! Kwani unampimaje? Wewe una akili gani kwa mfano ya kumdharau Bashe? Au utajifanya una akili kwa vile unatumia parody name?Bashe ni akili kubwa my foot!
Ukiwasikikiza hao loosers hakuna kitu utafanya..
Hii Nchi Ina watu Wana mdomo.sana ila waambie wakuoneshe vitendo ni zero so sio wa kuwapa attention unawapuuza unaendelea na programu Yako.
Kwani wewe ni mkewe au basha wake? Mbona povu Jingi?Your foot!! Kwani unampimaje? Wewe una akili gani kwa mfano ya kumdharau Bashe? Au utajifanya una akili kwa vile unatumia parody name?