Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

Niliwambia toka zamani huyu bashe ni tapeli huyu
 
Mkuu si wamesema wanawapa hayo masamba kwa kuwamilikisha labda mim ndio sijaelewa hiyo concept ya ile misheni
Kuwamilikisha mashamba hawa vijana wa Instagram na wapenda connection ni kupoteza muda. Bashe angeandaa mfo mzuri wa masoko ili waliojiajiri kwenye kilimo wauze kwa faida.

Hawa vijana wadangaji wangejiunga na kufanya kilimo wenyewe kwa hiari yao.
 
Tanzania tatizo la kilimo ni moja tu. SOKO LA MAZAO YA WAKULIMA.
Bashe anasema watauza moja kwa moja nchi za nje, kwa yeyote watakayetaka kumuuzia bila ya uhusika wa serikali!

Sijui hili alikwishaliona wapi?

Kazi muhimu ambayo wizara ingeweza kuwasaidia wakulima ni kuwapa uwezo wa kuwa na sauti katika kuamua mambo yao ya wakulima; kuwasaidia kuunda umoja wao utakaosimamia shughuli zao ikiwa ni pamoja na masoko ya bidhaa zao.

Mkulima mmoja mmoja hana uwezo wa kupambana na madalali.
 
MPaka sasa mna order ya nchi gani au kiwanda gani au kampuni ipi imewambia kuwa limeni sisi tutachukua hayo mazao yenu? Sawa Tz hatuna mazao bora, je nchi nyingine za africa vp ?mbona nao ni kama sisi tu.
 
Unapingwa kwa sababu mbele ni kiza kinene.Si ujiulize yapo makampuni makubwa miaka nenda rudi yanafanya biashara ya mazao lkn kwanini waende kuvizia hayo mazao kidogokidogo ya mkulima wa jembe la mkono na wasianzishe mashamba yao wenyewe wakawa na uhakika wa biashara yao? Ni kampuni gani umesikia imeanzisha kilimo cha kahawa, korosho, mbaazi, ufuta, zabibu nk. Lkn nenda wakati wa mavuno uone makampuni yavyopigana vikumbo kununua hayo mazao.
 
Alaumiwe alioua soko la korosho sio bashe
 
Sizungumzii vijana wote wa participate Kwa pamoja, mfano Hilo shamba darasa linalenga hasa zao la zabibu, Sasa kuchukuwa vijana ambao wanatoka maeneo ambayo haya zilishi Hilo zao Kwa wingi ama kabisa hawazalishi,
Sasa hapo tija itatoka wapi ndugu
Subirini matokeo acheni tabia ya pingapinga kila kitu. Mnalaumu wakati mawaziri wanafanya business as usual. Sasa huyu amekuja na creativity yake naye mnamlaumu. Sijui mnataka nini?

Subiri AFELI ndiyo muje muandike
 
HUYU BASHE AMEFELI NA HAKUNA KIONGOZI MNAFIKI KAMA JAMAA.

AMERUHUSU MASOKO YA KIGENI YAINGIZE BIDHAA TOKA NJE NDANI YA TANZANIA HUKU WAKULIMA WA TANZANIA WAKIWA WANAKOSA SOKO.

mfano, HUKU KAHAMA KUNA MCHELE TOKA THAILAND UMETAPAKAAA SANAAAA, HUKU MCHELE WA WAKULIMA WADOGO UKIKOSA SOKO
 
Bashe hana mda wa kuwasikiliza nyie loosers.

Songa mbele Bashe.
 
niliwaambia ni suala la muda tu wale vijana wakisha maliza kula hela ya semina na wakishakabidhiwa vipande vya shamba kuanza kazi wataondoka mmoja baada ya mwingine bila kuaga
 
Hapana
Hii ni Hatua Nzuri sana!

Ni ya kupongeza!

Kitu muhimu hapa ni kuwa na Storage Facilities

Soko litafuata bidhaa zilizoko Stored.

Block Farming itafungua dirisha la SKILLS.

KILIMO KITATAFSIRI TIJA.

SKILLS NA TIJA NDO UGONJWA MKUBWA KWA SASA.

KISHA HIZO STORAGE FACILITIES.

Hayo mengine yatafuata bila shaka yoyote!

Don't just condemne...

Kindly advise!
 
Your foot!! Kwani unampimaje? Wewe una akili gani kwa mfano ya kumdharau Bashe? Au utajifanya una akili kwa vile unatumia parody name?
Kwani wewe ni mkewe au basha wake? Mbona povu Jingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…