Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

Kwanini watu hawataki kujifunza kutokana na Maamyzi yetu, Kuna mwaka Tuliamua kuhusu Koroshi Nini kilitokea kwenye Hilo zao ule mwaka weyu Hadi Leo ni Siri ya wale wakulima wa Kusini, Mwaka Jana tumeamua Tena kuruhusu Mafuta ya kula kutoka nje Kila mkulima wa Alizeti amepata majibu ya huo uamuzi ulivyosadia kushusha Bei ya Alizeti Toka 95000/ Kwa mwezi 9/2022Hadi Bei kufikia 55000/ mwezi wa 12/2022 , Waliolima Alizeti mwaka huu wanaogopa hata kuvuna Bei walizitarajia hazipo watu wote wanakimbilia Mafuta ya korie or Mafuta Safi, Jee mbona watu kuwapigai kilele Wala viongozi hawataki kywasemea Wakulima walizeti? Tuwe na sera zinzoeleweka, ninahisi tunashida kwenye policy making or approach zetu kwenye policy zinashida sana, Kuna wakati huwa namuelewa Sana Mh Msukuma kuhusu Wasomi wetu wanashida sana vichwani mwao, ukitaka kujua Hilo la Elimu zinashida angalia sana pitia JF utajuwa wapi tumekwama kwenye elimu
Uzi mzima umelia lia tu, hamia Burundi.
 
Binadamu sio Malaika kwamba hatukosei ndio maana pale tunapokosea ama kuomba msamaa ama mkubwa wakko kuweka mambo sawa.
 
Rais hajazuwia mahindi kuuzwa nje,muwe mnafuatilia habari na kuelewa

Ulikua unabisha nin
 
Unaposema serikali itanunuwa Tani laki tano, Wilaya Moja tu ya KITETO inatarajiwa kuvuna Tani 174000 za Alizeti Kwa msimu huu, Mahindi zaidi ya Tani laki mbili, Bado mkoa wa Songwe, Rukwa, Songea, Mbeya , Iringa, Njombe, Wilaya Kondoa, Kongwa, Mpwawa, Tabora. Jee serikali ukimaliza kununua hizo Tani laki Tano zake, Hizo Tani Milioni Kaza zinzobaki zitauzwa wapi? Ukifunga mipaka?
Mambo mengine yanastaajabisha bei iko juu alafu unasema watauza wapi
Wauze hapa hapa tanzania ambako bei iko juu kipindi hiki cha mavumo mpaka pale bei itakapokua rafiki kwa watanzania walio wengi

 
Waziri na wakuu wa mikoa hao ndio waliozuia mahindi kuuzwa nje ya nchi na sio mimi ambaye hata unijui na ninatumia jina bandia

 
Bei ipo Juu wapi Leo Hii Mahindi gunia
Mambo mengine yanastaajabisha bei iko juu alafu unasema watauza wapi
Wauze hapa hapa tanzania ambako bei iko juu kipindi hiki cha mavumo mpaka pale bei itakapokua rafiki kwa watanzania walio wengi

Ni Tshs 60,000/ mKiteto- Matui, seringine, Osteti, Chapakazi, majuzi tu Gunia elikuwa Tshs 85009/= wewe unaongea uhinga wako kuwa Bei ipo Juu wapi
 
Bei ipo Juu wapi Leo Hii Mahindi gunia

Ni Tshs 60,000/ mKiteto- Matui, seringine, Osteti, Chapakazi, majuzi tu Gunia elikuwa Tshs 85009/= wewe unaongea uhinga wako kuwa Bei ipo Juu wapi
Kama ni ujinga jiulize ni kwanin serekali imezuia kupeleka nje ya nchi
 

Ulikua unabisha nin
Bado rais hakutoa kauli ya kuzuwia,lake hadharani halikua agizo la kuzuwia Bali kusihi
 
Kilimo bila soko la nje ni umasikini, kwanza na taifa linapoteza pesa za kigeni. Yupo sahihi kabisa. Kinachotakiwa kufanywa ni kuongeza uzalishaji ili kipatikane chakula cha kuuza nje na ndani ya nchi.
Kama ni ardhi, ipo.
Sasa mnakoseya wapi watanzania?
Inakuwaje Zambia awe na chakula cha kutosha wewe jirani yake ushindwe?

Bashe yupo sahihi na mama pia yupo sahihi manaake msije kufa njaa[emoji1]

Sasa, tunaowanishaje fikra za mama na hizo za mh. Bashe?

Tukiweza, basi hayo ndio maendeleo na ukombozi kwenye sekta ya kilimo na ufugaji.

Basi asijiuzulu, anatakiwa afanye kazi kwa bidii zaidi ili siku moja ndoto yake iweze kutimia huku ikiendana na ya mama. Ambayo ni wanaye tusife njaa.

Asante kwa kunisoma.
 
Tuwache Demand na Supply viamue Bei ya Mazao yetu, kama mahitaji yetu ya Chakula makubwa kuliko uzalishaji basi tuongeze uzalishaji Kwa kuongeza mazingira Rafiki Kwa mkulima Eli aweze kuzalisha Kwa wengi,
Hili sasa ndio umeandika point.

Out of topic
Hivi huko ulipo mkuu bei ya mahindi kwa 100kg ni sh ngapi
 
Back
Top Bottom