Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

Uzi mzima umelia lia tu, hamia Burundi.
 
Binadamu sio Malaika kwamba hatukosei ndio maana pale tunapokosea ama kuomba msamaa ama mkubwa wakko kuweka mambo sawa.
 
Rais hajazuwia mahindi kuuzwa nje,muwe mnafuatilia habari na kuelewa

Ulikua unabisha nin
 
Mambo mengine yanastaajabisha bei iko juu alafu unasema watauza wapi
Wauze hapa hapa tanzania ambako bei iko juu kipindi hiki cha mavumo mpaka pale bei itakapokua rafiki kwa watanzania walio wengi

 
Waziri na wakuu wa mikoa hao ndio waliozuia mahindi kuuzwa nje ya nchi na sio mimi ambaye hata unijui na ninatumia jina bandia

 
Bei ipo Juu wapi Leo Hii Mahindi gunia
Ni Tshs 60,000/ mKiteto- Matui, seringine, Osteti, Chapakazi, majuzi tu Gunia elikuwa Tshs 85009/= wewe unaongea uhinga wako kuwa Bei ipo Juu wapi
 
Bei ipo Juu wapi Leo Hii Mahindi gunia

Ni Tshs 60,000/ mKiteto- Matui, seringine, Osteti, Chapakazi, majuzi tu Gunia elikuwa Tshs 85009/= wewe unaongea uhinga wako kuwa Bei ipo Juu wapi
Kama ni ujinga jiulize ni kwanin serekali imezuia kupeleka nje ya nchi
 
Bado rais hakutoa kauli ya kuzuwia,lake hadharani halikua agizo la kuzuwia Bali kusihi
 
Kilimo bila soko la nje ni umasikini, kwanza na taifa linapoteza pesa za kigeni. Yupo sahihi kabisa. Kinachotakiwa kufanywa ni kuongeza uzalishaji ili kipatikane chakula cha kuuza nje na ndani ya nchi.
Kama ni ardhi, ipo.
Sasa mnakoseya wapi watanzania?
Inakuwaje Zambia awe na chakula cha kutosha wewe jirani yake ushindwe?

Bashe yupo sahihi na mama pia yupo sahihi manaake msije kufa njaa[emoji1]

Sasa, tunaowanishaje fikra za mama na hizo za mh. Bashe?

Tukiweza, basi hayo ndio maendeleo na ukombozi kwenye sekta ya kilimo na ufugaji.

Basi asijiuzulu, anatakiwa afanye kazi kwa bidii zaidi ili siku moja ndoto yake iweze kutimia huku ikiendana na ya mama. Ambayo ni wanaye tusife njaa.

Asante kwa kunisoma.
 
Tuwache Demand na Supply viamue Bei ya Mazao yetu, kama mahitaji yetu ya Chakula makubwa kuliko uzalishaji basi tuongeze uzalishaji Kwa kuongeza mazingira Rafiki Kwa mkulima Eli aweze kuzalisha Kwa wengi,
Hili sasa ndio umeandika point.

Out of topic
Hivi huko ulipo mkuu bei ya mahindi kwa 100kg ni sh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…