Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

Watanzania ni wajinga sana
Wanakataa ila Ngano, Mafuta ya kupikia yote yana virutubisho
 
Umepangilia hoja vizuri na kimantiki na umeeleweka kirahisi.

Hongera Sana mkuu
 
Ama kweli kuna watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Yaani mahusiano kati ya USA na Tanzania yaharibike sababu tumekataa mchele wa bure?

Wewe hujasoma hata history au civics ya O-Level. Kama ungekuwa umesoma ungetambua unuhimu wa Tanzania kwenye geopolitics za West
 
Yani ni sawa na wewe hapo jirani yako aje akupe nguo kama msaada wakati wewe una zako, sasa sijui utapokea ili usivunje mahusiano naye?
 
Wazazi walilalamika wanachagishwa michango ya chakula hadi ikabidi lugha ibadilishwe kutoka elimu bure kuwa bila ada. Mmesahau au mbwembwe tu za mitandaoni? Mijadala ya watoto kulishwa mafuta ya taa hazipati traction lakini wakilishwa kwa msaada wa mzungu ndio mnakuja kutunisha vifua. Kama mmeguswa wekezi azimio watoto wale vizuri kutoka kwa wakulima wetu otherwise ni fake outrage tu. Yale yale ya kudai miss world alijenga shule tanzania kwa mkakati Ili aje azitumie kushinda wakati mwenyewe huna habari na watoto kijijini ulikotoka wanasoma katika mazingira gani.
 
Hu
Wataleta wasaudia , ataukubali kwa kuwa umesomewa dua kwa alah wake.
 
Muwe mnasikiliza vizuri , kasema kawaambieni Tanzania hatuna shida ya mchele. Kauli hiyo ina maana gani kama sio kukataa?

Jambo lingine, Bashe anaweza kuua kilimo na matumaini ya wakulima. Kwa nini? Marekani ni Moja ya wazalishaji wakubwa wa nataka duniani na
Kauli zinavunja mahusiano na kujenga chuki ya muda mrefu. Kukataa au kukubali mchele ni hiari ya anayepewa ila kauli ya kusema kwamba wachanganye virutubisho hivyo hapa nchi ina ukakasi mkubwa na inaonesha hamuamini virutubisho hivyo ni salama ama laah hivyo inaweza kuleta hali ya mashaka. Wenzetu wanapima kauli
 
Hii ndio nchi yako na watu wake
 
Watu wananjaa uletwe mitaani watu wale chezea mpunga nini?, ni mwendo wa sherehe
 
TBS kitu Gani bhana walete Muchele huo ukandamizwe,
 
Washauri wa Bashe ni shida yaani wewe unataka kuijulisha jamii mambo muhimu ya sector yako. Halafu unaenda kwenye chombo ambacho hayo maelezo baada ya wao kurusha live on TV ndio basi tena.

Clouds wao awaoni umuhimu wa kuweka online hiyo speech ambayo information zake zina interests ya wadau tofauti, wakulima, jamii, investors, international markets, lenders, wafanyabiashara (kwenye maamuzi yao), wanasiasa (kwenye kuelezea sera za serikali) na wider stakeholders wa kilimo cha Tanzania.

Yaani clouds wao washavuta mpunga wao awaoni significant ya stakeholders wengine kutaka kuona marudio ya hiyo speech kwa sababu tofauti.

Hizi ndio sababu ni rahisi sana kuwawekea maneno hawa watu kwa sababu ata uelewa wao wa kutumia communication channel zipi muhimu kuwafikia watu wengi na hawajui.
 
Ni suala linalohusu usalama wa chakula nchini na msimamizi Mkuu wa hili ni Wizara ya Kilimo.
Kama huo mchele umeingia bila kufuata taratibu za kuingiza chakula nchini basi mtu wa kwanza kufukuzwa kazi anatakiwa awe Bashe mwenyewe.
 
Kama huo mchele umeingia bila kufuata taratibu za kuingiza chakula nchini basi mtu wa kwanza kufukuzwa kazi anatakiwa awe Bashe mwenyewe.
Mchele si bado haujaingizwa....au nilisoma taarifa vibaya???
 
Wewe ni mjinga. kwani tanzania ins shida ya chakula? Umeambiwa mchele upo wa kutosha si wangenunua hapa hapa kama lengo Lao lilikua msaada!

Tanzania haina njaa wangepeleka gala kwa wenye uhitaji
 
Wanataka watoto wawe mchele mchele shule mchele ni anasa ni mwendo wa nguna tu
 
Hizo akili anazo Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…