Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona unapiga kelele?Unataka Wamarekani wawalishie raia wenu wote wanaoshinda njaa au wanaoona mchele ni anasa??
Ama kweli kuna watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Yaani mahusiano kati ya USA na Tanzania yaharibike sababu tumekataa mchele wa bure?Kama Kuna sehemu mtu anateleza anaambiwa , watu tumetofautiana kuona mambo Kwa mbali. Mimi nimeona kauli za Bashe zinaweza kuharibu hali ya uhusiano kama zisipodhibitwa. Anachoona Bashe ni kwamba anaijibu NGO Kwa sababu ndio iliyoleta msaada huo lakini nyuma ya pazia iliyojibiwa ni Serikali ya Marekani
Yani ni sawa na wewe hapo jirani yako aje akupe nguo kama msaada wakati wewe una zako, sasa sijui utapokea ili usivunje mahusiano naye?Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha.
Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka nchini Marekani chini ya kampeni ya wizara ya kilimo ya Marekani inayoitwa "Pamoja tuwalishe" na 'interest' pekee niliyonayo ni Kwa maslahi mapana ya nchi yangu .
Siku zote mjumbe hauawi na hiyo NGO inabaki kuwa ni mjumbe tu wa wizara ya kilimo ya Marekani ,kitendo Cha Waziri kuonesha kukasirishwa na kitendo Cha mjumbe kinaleta picha isiyopendeza.
Kwa mtazamo wangu badala ya Waziri Bashe kuonesha kukasirishwa na kuletwa Kwa mchele na hiyo NGO angetumia nafasi hiyo kufanya "formal communication" na wizara ya kilimo ya Marekani juu ya mambo tunayohitaji.
Kwa kuwa mchele huo ni msaada sikuona ulazima wowote wa Waziri kusema kwamba mchele tunao ,Kwa kuwa lengo la kampeni hiyo ni zuri ,tunatakiwa kuupokea msaada huo na kushukuru na wizara ingetumia TBS kuchunguza ubora wa mchele huo kimya kimya kabla haujaanza kutumika na kama kungekuwa na mashaka yoyote Serikali ingekataa baada ya kufanyika Kwa uchunguzi na ubora na sio Kwa hoja za Waziri.
Mashaka niliyonayo kwa Waziri Bashe ni kuwa:
Kama Waziri hajui athari za kimahusiano zinazoweza kuibuka kutokana na kauli tu. Kitendo Cha Waziri Bashe kudai Kwa nini wasingeleta virutubisho wachanganye tukiwaona ,sio rafiki Kwa afya ya diplomasia. Kitendo hicho kinaweza kufikirika kama tuhuma ya usalama. Kabla ya kauli hiyo alitakiwa kuwatumia TBS kuuchunguza mchele.
Marekani ni Moja ya nchi zinazozalisha nataka ( mchele na mahindi) Kwa wingi duniani na kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa ,nchi yetu inaweza kukumbwa na baa la njaa na tukahitaji msaada wa Chakula kutoka nje. Je, tutapata wapi nguvu za kuomba msaada kutoka Marekani kama tumeamua kukataa msaada Sasa ?
Pengine kulikuwa na Cha zaidi ambacho hatukijui lakini kama ni hiki kilichopo ,ni vema Waziri Bashe angeliendea suala Hilo Kwa busara, angejiridhisha kwanza na angejua hatua Kwa busara ili tuendelee kuimarisha mahusiano na nchi nyingine.
Kila siku Rais anasisitiza mifumo kusomana ili kuepusha migogoro , na kama mifumo ingekuwa inasomana kusingekuwa na kauli za namna Ile kutoka Kwa Waziri.
Ahsante
Wataleta wasaudia , ataukubali kwa kuwa umesomewa dua kwa alah wake.Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha.
Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka nchini Marekani chini ya kampeni ya wizara ya kilimo ya Marekani inayoitwa "Pamoja tuwalishe" na 'interest' pekee niliyonayo ni Kwa maslahi mapana ya nchi yangu .
Siku zote mjumbe hauawi na hiyo NGO inabaki kuwa ni mjumbe tu wa wizara ya kilimo ya Marekani ,kitendo Cha Waziri kuonesha kukasirishwa na kitendo Cha mjumbe kinaleta picha isiyopendeza.
Kwa mtazamo wangu badala ya Waziri Bashe kuonesha kukasirishwa na kuletwa Kwa mchele na hiyo NGO angetumia nafasi hiyo kufanya "formal communication" na wizara ya kilimo ya Marekani juu ya mambo tunayohitaji.
Kwa kuwa mchele huo ni msaada sikuona ulazima wowote wa Waziri kusema kwamba mchele tunao ,Kwa kuwa lengo la kampeni hiyo ni zuri ,tunatakiwa kuupokea msaada huo na kushukuru na wizara ingetumia TBS kuchunguza ubora wa mchele huo kimya kimya kabla haujaanza kutumika na kama kungekuwa na mashaka yoyote Serikali ingekataa baada ya kufanyika Kwa uchunguzi na ubora na sio Kwa hoja za Waziri.
Mashaka niliyonayo kwa Waziri Bashe ni kuwa:
Kama Waziri hajui athari za kimahusiano zinazoweza kuibuka kutokana na kauli tu. Kitendo Cha Waziri Bashe kudai Kwa nini wasingeleta virutubisho wachanganye tukiwaona ,sio rafiki Kwa afya ya diplomasia. Kitendo hicho kinaweza kufikirika kama tuhuma ya usalama. Kabla ya kauli hiyo alitakiwa kuwatumia TBS kuuchunguza mchele.
Marekani ni Moja ya nchi zinazozalisha nataka ( mchele na mahindi) Kwa wingi duniani na kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa ,nchi yetu inaweza kukumbwa na baa la njaa na tukahitaji msaada wa Chakula kutoka nje. Je, tutapata wapi nguvu za kuomba msaada kutoka Marekani kama tumeamua kukataa msaada Sasa ?
Pengine kulikuwa na Cha zaidi ambacho hatukijui lakini kama ni hiki kilichopo ,ni vema Waziri Bashe angeliendea suala Hilo Kwa busara, angejiridhisha kwanza na angejua hatua Kwa busara ili tuendelee kuimarisha mahusiano na nchi nyingine.
Kila siku Rais anasisitiza mifumo kusomana ili kuepusha migogoro , na kama mifumo ingekuwa inasomana kusingekuwa na kauli za namna Ile kutoka Kwa Waziri.
Ahsante
Muwe mnasikiliza vizuri , kasema kawaambieni Tanzania hatuna shida ya mchele. Kauli hiyo ina maana gani kama sio kukataa?hajakataa ila nilichomuelewa ni kwamba fedha ambazo wanawalipa hao wakulima wao basi wangetupatia sie ili tujisaidie kwa kuwapa wakulima wetu ili kukuza kilimo nchini mwetu na inshu ya virutubisho wangekuja kuweka wenyewe hapa.
hakuna msaada wa bure,msaada una masharti.
Kauli zinavunja mahusiano na kujenga chuki ya muda mrefu. Kukataa au kukubali mchele ni hiari ya anayepewa ila kauli ya kusema kwamba wachanganye virutubisho hivyo hapa nchi ina ukakasi mkubwa na inaonesha hamuamini virutubisho hivyo ni salama ama laah hivyo inaweza kuleta hali ya mashaka. Wenzetu wanapima kauliAma kweli kuna watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Yaani mahusiano kati ya USA na Tanzania yaharibike sababu tumekataa mchele wa bure?
Wewe hujasoma hata history au civics ya O-Level. Kama ungekuwa umesoma ungetambua unuhimu wa Tanzania kwenye geopolitics za West
Hii ndio nchi yako na watu wakeWazazi walilalamika wanachagishwa michango ya chakula hadi ikabidi lugha ibadilishwe kutoka elimu bure kuwa bila ada. Mmesahau au mbwembwe tu za mitandaoni? Mijadala ya watoto kulishwa mafuta ya taa hazipati traction lakini wakilishwa kwa msaada wa mzungu ndio mnakuja kutunisha vifua. Kama mmeguswa wekezi azimio watoto wale vizuri kutoka kwa wakulima wetu otherwise ni fake outrage tu. Yale yale ya kudai miss world alijenga shule tanzania kwa mkakati Ili aje azitumie kushinda wakati mwenyewe huna habari na watoto kijijini ulikotoka wanasoma katika mazingira gani.
Ni suala linalohusu usalama wa chakula nchini na msimamizi Mkuu wa hili ni Wizara ya Kilimo.Bashe sio msimamo rasmi wa serikali ya Tanzania.
Watu wananjaa uletwe mitaani watu wale chezea mpunga nini?, ni mwendo wa shereheMada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha.
Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka nchini Marekani chini ya kampeni ya wizara ya kilimo ya Marekani inayoitwa "Pamoja tuwalishe" na 'interest' pekee niliyonayo ni Kwa maslahi mapana ya nchi yangu .
Siku zote mjumbe hauawi na hiyo NGO inabaki kuwa ni mjumbe tu wa wizara ya kilimo ya Marekani ,kitendo Cha Waziri kuonesha kukasirishwa na kitendo Cha mjumbe kinaleta picha isiyopendeza.
Kwa mtazamo wangu badala ya Waziri Bashe kuonesha kukasirishwa na kuletwa Kwa mchele na hiyo NGO angetumia nafasi hiyo kufanya "formal communication" na wizara ya kilimo ya Marekani juu ya mambo tunayohitaji.
Kwa kuwa mchele huo ni msaada sikuona ulazima wowote wa Waziri kusema kwamba mchele tunao ,Kwa kuwa lengo la kampeni hiyo ni zuri ,tunatakiwa kuupokea msaada huo na kushukuru na wizara ingetumia TBS kuchunguza ubora wa mchele huo kimya kimya kabla haujaanza kutumika na kama kungekuwa na mashaka yoyote Serikali ingekataa baada ya kufanyika Kwa uchunguzi na ubora na sio Kwa hoja za Waziri.
Mashaka niliyonayo kwa Waziri Bashe ni kuwa:
Kama Waziri hajui athari za kimahusiano zinazoweza kuibuka kutokana na kauli tu. Kitendo Cha Waziri Bashe kudai Kwa nini wasingeleta virutubisho wachanganye tukiwaona ,sio rafiki Kwa afya ya diplomasia. Kitendo hicho kinaweza kufikirika kama tuhuma ya usalama. Kabla ya kauli hiyo alitakiwa kuwatumia TBS kuuchunguza mchele.
Marekani ni Moja ya nchi zinazozalisha nataka ( mchele na mahindi) Kwa wingi duniani na kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa ,nchi yetu inaweza kukumbwa na baa la njaa na tukahitaji msaada wa Chakula kutoka nje. Je, tutapata wapi nguvu za kuomba msaada kutoka Marekani kama tumeamua kukataa msaada Sasa ?
Pengine kulikuwa na Cha zaidi ambacho hatukijui lakini kama ni hiki kilichopo ,ni vema Waziri Bashe angeliendea suala Hilo Kwa busara, angejiridhisha kwanza na angejua hatua Kwa busara ili tuendelee kuimarisha mahusiano na nchi nyingine.
Kila siku Rais anasisitiza mifumo kusomana ili kuepusha migogoro , na kama mifumo ingekuwa inasomana kusingekuwa na kauli za namna Ile kutoka Kwa Waziri.
Ahsante
TBS kitu Gani bhana walete Muchele huo ukandamizwe,Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha.

Kama huo mchele umeingia bila kufuata taratibu za kuingiza chakula nchini basi mtu wa kwanza kufukuzwa kazi anatakiwa awe Bashe mwenyewe.Ni suala linalohusu usalama wa chakula nchini na msimamizi Mkuu wa hili ni Wizara ya Kilimo.
Mchele si bado haujaingizwa....au nilisoma taarifa vibaya???Kama huo mchele umeingia bila kufuata taratibu za kuingiza chakula nchini basi mtu wa kwanza kufukuzwa kazi anatakiwa awe Bashe mwenyewe.
Naam.Wanamhujumu kwenye mkakati wake wa kilimo
Hizo akili anazo Sasa?Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha.