Ziko taarifa kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe anatajia kujiuzulu wadhifa wake wakati wowote kuanzia sasa kumfuata mjomba wake Kinana aliyejiuzulu jana.
Sababu zinazotajwa ni kutokana na kuandamwa na kashfa ya sukari ambayo imeshindikana kuzimika licha ya kutumia fedha nyingi kununua magazeti yasiandike kashfa hiyo.
Pia Bashe anatuhumiwa kuwanunua viongozi wa AMCOS ya wakulima wa miwa kilombero wakanushe madai ya wakulima wa miwa kwamba madai hayo ni ya uongo baada ya Bashe kusikia kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutembelea Kiwanda cha Sukari Kilombero siku chache zijazo.
"Baada ya kusikia rais anakuja Kilombero bashe ametumia hela nyingi kuwanunua baadhi ya viongozi wa amcos ili waseme wakulima wa miwa hawana changamoto zozote na kwamba hata sheria mpya ya sukari haina tatizo lolote ili kumfichia aibu bashe mbele ya mheshimiwa rais akija Kilombero"
Tunasubiri tuone
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia