Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lakini sio bure!Mkuu hiyo tofauti ya tshs 70,000 inayokuja baada ya serikali kuamua ku-subsidize bei ya tshs 150,000 huoni kama ni nyingi na ni hatua nzuri?.
Nilisema huyu bashe anafanya propaganda na siasa ya kujisogeza kwa mama kuwa anafanya kazi kwa kuongea Sana jukwaani lakini ktk mawaziri waliofeli Sana ni huyu bashe muongo sanaKijiji cha Ilembo kata ya Mpui wilayani Sumbawanga, nimekutana na kioja kama si kihoja! Ati ukijiandikisha inatakiwa wakapime mashamba yako, wakishayapima ndio upatiwe hiyo mbolea.
Nauliza kijiji kimoja kinawakulima mpaka 10,000' na Kila mkulima ana heka kumi, mtapima mashamba yote ndio mgawe mbolea?
Afisa mtendaji wa kijiji cha Ilembo kasema hawatapewa mbolea mpaka wakayapime hayo mashamba ya kila aliyejiandikisha. Jamani mko siriasi kweli na kilimo cha nchi hii?
Bashe unajua kuongea kwa mbwembwe ila usipokuwa makini hili la mbolea litakuangusha sana!
Msitucheleshe, kama hamna uhakika mseme!
Hiyo ruzuku ni Kodi yetu. Hv mnavyosemaga tumepewa Bure ni nani anayetoa pesa yake mfukoninipe tafsiri ya ruzuku....unauziwa mbolea ya 150k kwa 70k kisha unaona hiyo 80k hujapewa bure? una elimu gani wewe kiasi huwezi kujua hesabu ndogo kama hiyo?
Mzee wa Ilore. Kule Iringa kuna Irole. Usrmacho ni kweli jamaa ni muongeaji tu na hana jipya. Hapa Wizarani wamemchoka. Pikipiki za mabwana shamba zimeishia wapi? Anajua alichofanya na Mo Dewji kulazimisha waziassemble na kuzifunga GPS Dodoma na sio kwenda kufungiwa mikoani.Nilisema huyu bashe anafanya propaganda na siasa ya kujisogeza kwa mama kuwa anafanya kazi kwa kuongea Sana jukwaani lakini ktk mawaziri waliofeli Sana ni huyu bashe muongo sana
Mizengwe iliyopo sekta ya Kilimo ni mingi sana,inatakiwa iundwe tume ya Rais ili tuchunguze kwa kina nini hasa tatizo la Kilimo chetu na tuanzie wapi.Lakini hizi strategies za kisanii sanii hazitaleta tija yoyote
Anasumbua tu. Hao VODACOM waliopewa kazi ya kusajili wakulima kwa Finger Print hata hawajajipanga na sijui kigezo kipi kimetumika kumpata Vodacom kusajili wakulima hao. Yule Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mbolea naye anakitembeza kipara tu hakuna ajuacho. Leo mnampa One Acre Fund uwakala ili afidie Milioni 600 alizochangia kwenye kununua pikipiki hewa na mbovu kwa maafisa ugani ilhali kila sehemu hao One Acre Wanalalamikiwa na Wizara inajua. Muda si mrefu Mnafiki Bashe anakuwa uchi.Jana mie nilisema kama kuna wazri mzigo basi Hyu mwamba na kuhakikishieni hili la mbolea ya RUZUKU LINAKWENDA KUMUWEKA WAZI
Ushahidi wa hizo pesa alizopiga unao?Alafu jamaa anapiga sana huko Wizara ya Kilimo. Anavyoongea unaweza jua mtu wa maana kumbe mbabaishaji na mpigaji tu. Kapiga pesa nyingi sana kwenye Pikipiki. Jamaa alipiga 500K kwenye Kila pikipiki. Hapa Wizarani wote wanajua mmbabaishaji sema mama amemkubali.
Zoezi la Pembejeo ni utapeli mtupu. Serikali imeweka 150B kuigawa kwa kiasi cha Pesa zitakazotolewa na serikali kwa mfuko mmoja utakuta wakulima wanufaika ni 1.2M pekee. Sasa nchi hii ina wakulima wangapi? Usanii tupu na ndio maana kuna urasimu mwingi ili mkulima apate hiyo mbolea.
Kimsingi, Walimseti Bi. Tozo kubwa hukubaliki huku mtaani kwa hiyo ili ukubalike lete ruzuku kwa namna hii ila hizi mbolea zitamfanya mama achukiwe zaidi kwani wakulima wengi wamejiandikisha na wanategemea kupata mbolea ila hawatapata. Hapa ndipo atachukiwa zaidi kwani kwenye vikao vyake vya ndani Mikoani aliongea hilo kuwa hakubaliki kwa hiyo anaamini mbolea itasaidia akubalike
Wewe Lofa najua nisemalo nipo jikoni mkuu. Endelea kutetea ujinga huku JF ukiwa umelala sebuleni kwa shemeji yakoUshahidi wa hizo pesa alizopiga unao?
Umetoa povu badala ya hojaWewe Lofa najua nisemalo nipo jikoni mkuu. Endelea kutetea ujinga huku JF ukiwa umelala sebuleni kwa shemeji yako
Mbona hakufanya kwenye Bei za mbaaziiii au kahawa kipindi chake ?Hapo ndo wanasababisha wananchi wamkumbuke Magufuli. Hapo angekuwa amefanya maamuzi magumu kabla wananchi hawajaumia
Hyo inatokana na mfumo mzima wa maisha anayopitia hyu mtu,sio elimu,makuzi na mngne mengi.Wewe Lofa najua nisemalo nipo jikoni mkuu. Endelea kutetea ujinga huku JF ukiwa umelala sebuleni kwa shemeji yako
ch hx JJ vUshahidi wa hizo pesa alizopiga unao?
Sasa si kila mtu atakua anakurupuka na kutoa tuhumaHyo inatokana na mfumo mzima wa maisha anayopitia hyu mtu,sio elimu,makuzi na mngne mengi.
yaani na kupigwa kote huku anatokea mtu anakuomba evidence za kile unachojaribu kumuelekeza aelewe![emoji848][emoji848][emoji848]
Kinengunengu usipende kuwastua watu waliolala,
utakuja kupewa kesi ya kuuwa
acha wafu wawazike...