Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

Mbolea ya ruzuku ni Biashara haramu kayi ya Mawakala na Serikali. Kuna usumbufu sana kuipata. Wajanja wataipata then watauza kwa bei ya soko. Uliza Mbeya Ntokela wanako Lima Viazi kuna usumbufu balaa..
 
Hivi kwani hiyo mbolea ni bure, kwa maana maeneo mengine wanasema watatoa kwa bei pungufu
 
Maeneo mengine wananchi wanaambiwa wawe na laini ya voda,kitambulisho na kupigwa picha.Mh waziri aseme haya ndiyo aliyoelekeza?
 
Amepiga dili Sana na ni mwizi aliyekubuhu Sana mbinafsi Sana huyu msomali ndio maana jk miaka kumi yote alimkataa hata kumpa ubunge kumbe alikuwa anamjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…