Pre GE2025 Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2030 mama samia atakuwa na miaka sabini, hii nchi ya kuzunguka kwa landcruiser naona kuna changamoto,
 
Kwa usomali wake Bashe atapataje urais?
 
Kwa usomali wake Bashe atapataje urais?
Swali la kijinga.Kwa usomali wake Engineer Hersi amepataje Urais wa Yanga yenye mamilioni ya mashabiki Nchini?Hao wamatumbwi walikuwa wapi?
 
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine

Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii.

Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo.

Huwezi kusema Bashe anaua zao la korosho kule kwenye mikoa ya kusini badala yake ni huyu Bashe ndiye anayewalinda wazalishaji wa zao huku akiwashughulikia kwa vitendo wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima.

Maadui wa Bashe hawana hoja na ndio maana wanatumia ubaguzi kumchafua.

Bashe ni Mtanzania mzalendo,ni mwana CCM mahiri,Mbunge wa Nzenga mjini na ni msomi mzuri.

Kukesha mitandaoni kujadili asili ya Bashe ni upuuzi uliopindukia.

Kwasisi tuliosoma anthropology na tunajua vyema historia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla tunashangazwa kuona bado kuna watu wana elements za ubaguzi.ukijua haya huwezi kuwa mbaguzi.

Mfano hata hawa wanaomchafua Bashe ni wabantu-Hivi hawajui kuwa hata wabantu ni wahamiaji hapa Tanzania?

Hivi ni nani anaweza kuhoji uzalendo wa Profesa Issa Shivji? je tusema Shivji ni Mhindi? uhindi wake unatusaidia nini?

Shivji ni Mtanzania mzalendo.Period.

Acheni Bashe afanye kazi.anatutoa kimasomaso kutokana na anavyosimamia vyema sekta ya kilimo na program ya BBT

Threat kubwa
1. Biashara ya sukari kuitaka iwe liberal
2. ⁠kudhibiti minada ya mazao Kwa kuweka sheria inayozuia directo mmoja kuleta kampuni 10 kwenye dhabuni
3. ⁠kudhibiti biashara ya mbolea na viwatilifu
4. ⁠minada kuendeshwa kidigitali
5. ⁠mtetezi wa falsafa ya local content n.k
Hata kama Sisi ni Wajinga ndo tuongozwe na Msomali?
 
Wacha kutukana watu.Rais wa Yanga ni msomali na ina mashabiki mamilioni.Ila umekubali ujinga hivyo huna cha kuchagua.
 
Vijana wa mzee Lowasa hawa

Nyota ya dawa zakimasai simba wanayo sana....watanganyika tukizubaa tu tutapishana nae viungani chamwino
 
Wale vijana ameshindwa kuwamanage na niwaziri kila kitu kapewa.Watoto wa watu wanalalamika.

Ndio tumpe Nchi? Bora huyu huyu anaecheza Upatu wa kukopa kila siku
 
Swali la kijinga.Kwa usomali wake Engineer Hersi amepataje Urais wa Yanga yenye mamilioni ya mashabiki Nchini?Hao wamatumbwi walikuwa wapi?
Urais wa club unafananisha na urais wa nchi? Kuwa serious basi.

Msomali Bashe kamwe hawezi kuwa rais.
 
Yaani MSOMALI awe threat kweli? You could be sick!
Ngozi nyeusi ikisikia Obama kawa Rais Marekani inashangia hadi inakata mauno. Ila huku akigombea Muhindi ataitwa Gabachori, Mwarabu ataitwa Mwarabu koko, Mzungu Beberu.

Nikiwaambia hapa duniani Race inayoongoza kwa ubaguzi ni hii nyeusi mnanitolea mapovu. Si mnaona?
 
Akagombee kwao Somalia period!
 
Nadhani mmeanza kuamini kuwa bashe ana plan za kuwa Rais 😂,
Dogo kapewa fedha nyingi Sana hana pakuzipeleka
 
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine

Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii.

Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo.

Huwezi kusema Bashe anaua zao la korosho kule kwenye mikoa ya kusini badala yake ni huyu Bashe ndiye anayewalinda wazalishaji wa zao huku akiwashughulikia kwa vitendo wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima.

Maadui wa Bashe hawana hoja na ndio maana wanatumia ubaguzi kumchafua.

Bashe ni Mtanzania mzalendo,ni mwana CCM mahiri,Mbunge wa Nzenga mjini na ni msomi mzuri.

Kukesha mitandaoni kujadili asili ya Bashe ni upuuzi uliopindukia.

Kwasisi tuliosoma anthropology na tunajua vyema historia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla tunashangazwa kuona bado kuna watu wana elements za ubaguzi.ukijua haya huwezi kuwa mbaguzi.

Mfano hata hawa wanaomchafua Bashe ni wabantu-Hivi hawajui kuwa hata wabantu ni wahamiaji hapa Tanzania?

Hivi ni nani anaweza kuhoji uzalendo wa Profesa Issa Shivji? je tusema Shivji ni Mhindi? uhindi wake unatusaidia nini?

Shivji ni Mtanzania mzalendo.Period.

Acheni Bashe afanye kazi.anatutoa kimasomaso kutokana na anavyosimamia vyema sekta ya kilimo na program ya BBT

Threat kubwa
1. Biashara ya sukari kuitaka iwe liberal
2. ⁠kudhibiti minada ya mazao Kwa kuweka sheria inayozuia directo mmoja kuleta kampuni 10 kwenye dhabuni
3. ⁠kudhibiti biashara ya mbolea na viwatilifu
4. ⁠minada kuendeshwa kidigitali
5. ⁠mtetezi wa falsafa ya local content n.k
Kijana uko nje ya uwezo wako sawa ngoja tukupe hoja bashe hawezi kuwa rais wa tanzani basi akiwa basi TISS watakuwa kichwa cha mwendawazimu sana
Sababu zangu hiz
.
1. Katiba yetu rais sio rais tu mfalme....
Rais hakuna chombo cha kumuhoji wala kumzuia maamuzi yake hizo akichaguliwa mtu ambae sio wa asili ya tanzania akaanza kupendelea alikotoka tumeisha hakuna wa kumuuliza tofauti na marekani hata mimi na ww kuwa rais wa marekani na nchi ikaenda sababu kuna vyombo vya kunihoji nikifanya maamuzi ya hovyo..... sasa bashe ni msomali na wasomali ni wasomali tu popote walipo

2. Zamu inafuata ni mkristo sio muislam
Bashe ni msomali pia muislam ila ndani ya chama na utamaduni sio sheria wa dini hizi mbili kubadilishana uongozi ili kuleta utulivu na amani ......kumbuka 32% waislam 50 %, ni wakristo ....18% wengine so wakivunja huo utamaduni kura wanaweza wasipate

3.usomali wake
Hoja ni hoja bashe ni msomali alizaliwa tanzania na kina dada zake mustaq na wengineo......na ni mtanzania ila baba ao ni msomali kabisa sijui babu yao .. kumbuka wasomali wana ile nationalism kali kama wa israel hata akiwa marekani huwa wanajina wasomali tu...
Watu hawa hadi africa wanajionaga wao sio waafrika ... tuachana na hilo watanzania kamwe hawataweza kukubali hii na ccm wataogopa maana chadema wachukua hoja ya usomali kama hoja

Namalizia kwa kusema anafaa kuwa raisi ila sio kwa katiba hii ambayo rais ni mfalme ambae hakuna wa kumuuliza wala kumhoji .....so kwa katiba hii ya sasa mbovu anahitajika mtu wa asili ya tanzania hata akisema apendelee kabila lake atapendelea Kabisa la kitanzania yaani watanzania wenzetu full stop.....ila bashe awe rais kwa katiba bovu hili afu asema apendelee kabila lake maana ake anapendelea nchi ya somalia na wasomalia
 
Apart from political ambitions he is very serious and committed to what he believe,advocate and support.

Constructive security,Stratetic support has to be availed to him to ensure genuine development goals are attained for the benefit of JMT.

He has few weakness which can be fixed or rectified
 
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine

Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii.

Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo.

Huwezi kusema Bashe anaua zao la korosho kule kwenye mikoa ya kusini badala yake ni huyu Bashe ndiye anayewalinda wazalishaji wa zao huku akiwashughulikia kwa vitendo wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima.

Maadui wa Bashe hawana hoja na ndio maana wanatumia ubaguzi kumchafua.

Bashe ni Mtanzania mzalendo,ni mwana CCM mahiri,Mbunge wa Nzenga mjini na ni msomi mzuri.

Kukesha mitandaoni kujadili asili ya Bashe ni upuuzi uliopindukia.

Kwasisi tuliosoma anthropology na tunajua vyema historia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla tunashangazwa kuona bado kuna watu wana elements za ubaguzi.ukijua haya huwezi kuwa mbaguzi.

Mfano hata hawa wanaomchafua Bashe ni wabantu-Hivi hawajui kuwa hata wabantu ni wahamiaji hapa Tanzania?

Hivi ni nani anaweza kuhoji uzalendo wa Profesa Issa Shivji? je tusema Shivji ni Mhindi? uhindi wake unatusaidia nini?

Shivji ni Mtanzania mzalendo.Period.

Acheni Bashe afanye kazi.anatutoa kimasomaso kutokana na anavyosimamia vyema sekta ya kilimo na program ya BBT

Threat kubwa
1. Biashara ya sukari kuitaka iwe liberal
2. ⁠kudhibiti minada ya mazao Kwa kuweka sheria inayozuia directo mmoja kuleta kampuni 10 kwenye dhabuni
3. ⁠kudhibiti biashara ya mbolea na viwatilifu
4. ⁠minada kuendeshwa kidigitali
5. ⁠mtetezi wa falsafa ya local content n.k
Mmmh vita ya urais Isha Anza??? Mapema.watu hawajui uhai wetu ni kwa neena ya Mungu tu.any way ndoto si mbaya
 
Back
Top Bottom