Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine
Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii.
Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo.
Huwezi kusema Bashe anaua zao la korosho kule kwenye mikoa ya kusini badala yake ni huyu Bashe ndiye anayewalinda wazalishaji wa zao huku akiwashughulikia kwa vitendo wafanyabiashara wanaowanyonya wakulima.
Maadui wa Bashe hawana hoja na ndio maana wanatumia ubaguzi kumchafua.
Bashe ni Mtanzania mzalendo,ni mwana CCM mahiri,Mbunge wa Nzenga mjini na ni msomi mzuri.
Kukesha mitandaoni kujadili asili ya Bashe ni upuuzi uliopindukia.
Kwasisi tuliosoma anthropology na tunajua vyema historia ya Tanzania na Afrika kwa ujumla tunashangazwa kuona bado kuna watu wana elements za ubaguzi.ukijua haya huwezi kuwa mbaguzi.
Mfano hata hawa wanaomchafua Bashe ni wabantu-Hivi hawajui kuwa hata wabantu ni wahamiaji hapa Tanzania?
Hivi ni nani anaweza kuhoji uzalendo wa Profesa Issa Shivji? je tusema Shivji ni Mhindi? uhindi wake unatusaidia nini?
Shivji ni Mtanzania mzalendo.Period.
Acheni Bashe afanye kazi.anatutoa kimasomaso kutokana na anavyosimamia vyema sekta ya kilimo na program ya BBT
Threat kubwa
1. Biashara ya sukari kuitaka iwe liberal
2. kudhibiti minada ya mazao Kwa kuweka sheria inayozuia directo mmoja kuleta kampuni 10 kwenye dhabuni
3. kudhibiti biashara ya mbolea na viwatilifu
4. minada kuendeshwa kidigitali
5. mtetezi wa falsafa ya local content n.k
Kijana uko nje ya uwezo wako sawa ngoja tukupe hoja bashe hawezi kuwa rais wa tanzani basi akiwa basi TISS watakuwa kichwa cha mwendawazimu sana
Sababu zangu hiz
.
1. Katiba yetu rais sio rais tu mfalme....
Rais hakuna chombo cha kumuhoji wala kumzuia maamuzi yake hizo akichaguliwa mtu ambae sio wa asili ya tanzania akaanza kupendelea alikotoka tumeisha hakuna wa kumuuliza tofauti na marekani hata mimi na ww kuwa rais wa marekani na nchi ikaenda sababu kuna vyombo vya kunihoji nikifanya maamuzi ya hovyo..... sasa bashe ni msomali na wasomali ni wasomali tu popote walipo
2. Zamu inafuata ni mkristo sio muislam
Bashe ni msomali pia muislam ila ndani ya chama na utamaduni sio sheria wa dini hizi mbili kubadilishana uongozi ili kuleta utulivu na amani ......kumbuka 32% waislam 50 %, ni wakristo ....18% wengine so wakivunja huo utamaduni kura wanaweza wasipate
3.usomali wake
Hoja ni hoja bashe ni msomali alizaliwa tanzania na kina dada zake mustaq na wengineo......na ni mtanzania ila baba ao ni msomali kabisa sijui babu yao .. kumbuka wasomali wana ile nationalism kali kama wa israel hata akiwa marekani huwa wanajina wasomali tu...
Watu hawa hadi africa wanajionaga wao sio waafrika ... tuachana na hilo watanzania kamwe hawataweza kukubali hii na ccm wataogopa maana chadema wachukua hoja ya usomali kama hoja
Namalizia kwa kusema anafaa kuwa raisi ila sio kwa katiba hii ambayo rais ni mfalme ambae hakuna wa kumuuliza wala kumhoji .....so kwa katiba hii ya sasa mbovu anahitajika mtu wa asili ya tanzania hata akisema apendelee kabila lake atapendelea Kabisa la kitanzania yaani watanzania wenzetu full stop.....ila bashe awe rais kwa katiba bovu hili afu asema apendelee kabila lake maana ake anapendelea nchi ya somalia na wasomalia