Pre GE2025 Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bashe ni business man,aendelee na biashara zake,uongozi awaachie wengine
 
Kumbe uingereza? Sio Tanzania!! Hao UK, US wamedeveloped sana na wana regulation za kutosha. Sio Sisi Tanzania ambao hata ndugu zetu wanatuibia sasa msomali???
Nendeni kuzimu hamna maana Dunia hii ya Sasa ya Kijiji!!
 
Nendeni kuzimu hamna maana Dunia hii ya Sasa ya Kijiji!!
Isitoshe hana sifa yeyote ya maana zaid ya kumsifia tu. Kuna wizi mkubwa sana kwenye wizara yake hasa, kwenye mradi wa, wa, kilimo cha vijana. Kama kawaida Tanzania ni shamba, la Bibi tu. Hatujui tu nataka nn. Hata Nape ana wadudu na chawa wake wa, kumsifia.
 
kwa nini tusibadilishe Katiba halafu tumlazimishe mama aendelee baada ya 2030?
 
Hii nchi ngumu sana, yani Bashe tishio kwa nani? Yani unamaanisha anapendwa mpaka kawa tishiio?

Hakuna waziri au mwenye cheo chochote cha kuteuliwa ambaye ni tishio, matishio yote yametolewa.

Waliobaki wote ni wafuasi, na lazima wasujudu kwenye cheo cha u rais, hawana tishio lolote, popote.
 
Na ile falsafa ya akitoka muislamu anaingia mkristo itakuwa imeachwa ??!
 
Kampeni za 2030 naona tayari zimeanza
 
Sheria inakataza,labda tuzibadili.
 
Pitia kwenye miradi ya umwagiliaji na mingine utapata picha halisi
 
Sikweli

Bashe na rostam vijana wa lowasa
Rostam akiwakilisha wafanyabiashara,mtu wao wa kumuweka ikulu alikua mlafi Lowasa, Nyerere akamtia laana 1995,wakaona wam-back up jakaya,walijua jakaya mpaka atoke madarakani Nyerere hatokuwepo,2015 ile pale,hela zile Lowasa alitoa wapi!?
 
Rostam akiwakilisha wafanyabiashara,mtu wao wa kumuweka ikulu alikua mlafi Lowasa, Nyerere akamtia laana 1995,wakaona wam-back up jakaya,walijua jakaya mpaka atoke madarakani Nyerere hatokuwepo,2015 ile pale,hela zile Lowasa alitoa wapi!?
mkuu,watu hawataki kufatilia maswala
 
Bashe ni mwizi hafai, ameleta utapeli wake unaitwa TMX kazi kubwa ni kuwaibia wakulima. Bashe kaua korosho hilo halina shaka, na Bashe sasa anaelekea kuua Ufuta ambao kila kukicha bei inaporomoka na yupo mbioni kuua mbaazi..

Huyo msomali kupitia TMX ameunda cartel yake na kampuni zake tu na za wapigaji wenzie ndizo zinakibali cha kununua mazao Tanzania hii. Wengine amewanyooshe vidole kuwaita wezi wakati mwizi mkuu ni yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…