Waziri Bashe punguza kelele za mitandaoni, bei ya mchele kilo moja imefika Shilingi 3,000

Hawa mawaziri wetu wamekuwa kama yule mpuliza filimbi wa Hamelin I kelele nyingi sana; wanashindana na MITANDAO leo nimeona kwenye tangazo moja mchele supaa kabisa kilo 1500 kutoka mikoani , akini kwa madukani na rejareja hapa Dsm Mchele unaofaa kula Sasa hivi ni 2800 na 3000.

Kwaninj tumefikia huko kama vyakula vipo. Je, nini kimesababisha bei kupanda mara mbili tatizo hapa lipo kwa wanasiasa sijui kwasababu wao wananunuliwa vyakula wanavikuta nyumbani gari wanawekewa mafuta kwa kodi zetu huku wakitulimbikizia tozo ili waweze kujigawawia?

Kwanini Mchele na unga vimepanda bei kiasi hiki SIWAONI wakijitokeza na kuwaukiza wauzaji namuomba Mh Bashe aache siasa kwenye maisha ya watu ajitokeze atoe tamko; je Kuna njaa au upungufu wa vyakula?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Alafu watu wanamsifia vibaya mno
 
Wapumbavu wanaishi Dar es Salaam na mijini wanataka wanunue unga kilo Tsh 1,000 na Michele Tsh 2,000 milele. Hawajui mkulima anavyohangaika na kununua mbolea kwa bei juu kufyeka pori, kulima na kupalilia . Hawajui bei ya pembejeo eti leo wanalalamika mahindi na Michele vinakwenda nje ya mipaka ya Tanzania.

Huu ndiyo wakati wa mkulima wa Tanzania kupata bei nzuri, hakuna kufunga mipaka. Chakula kikiisha na sisi Tanzania tutanunua nje ya Tanzania. Vile vile kama tutauza nje basi soko litakua hivyo basi watu wengi watajishirikisha na kilimo
Serekali imepiga marufuku kumpeleka mazao nje ya nchi
 
Hivi shangazi wa East Africa yupo nchini?
Tunaomba atuondolee uyu mtafuna mirungi much know pale Wizara ya Kilimo.
Anajifanya anajua kufanya interpretation ya Bar graph za World Bank na kiingereza chake cha ugoko."It is very danger"🤣🤣🤣
 
Huyo wa Mchele Supa kwa 1500 anataka awapige. Jamaa atawaibia. Kwa sasa hakuna Mchele wa chini ya 2000 sasa mchini kwetu. Hata Morogoro na Mbeya hakuna mchele wa bei hiyo. Vyakula vimepanda bei sana na hali ni ngumu sana.

Hakuna vyakula kwa sasa. Huyo waziri ni wa hivyo anapiga mdomo tu na hapo Wizarani wanamdharau sana. Anaongea sana ili amfurahishe na kumzubaisha Hangaya kwani ni mpigaji. Mbolea za ruzuku na mfumo wao utamuacha uchi muda si mrefu.
Tunduma mchele mashineni sasa hivi ni 2500 per kg
 
Hawa mawaziri wetu wamekuwa kama yule mpuliza filimbi wa Hamelin I kelele nyingi sana; wanashindana na MITANDAO leo nimeona kwenye tangazo moja mchele supaa kabisa kilo 1500 kutoka mikoani , akini kwa madukani na rejareja hapa Dsm Mchele unaofaa kula Sasa hivi ni 2800 na 3000.

Kwaninj tumefikia huko kama vyakula vipo. Je, nini kimesababisha bei kupanda mara mbili tatizo hapa lipo kwa wanasiasa sijui kwasababu wao wananunuliwa vyakula wanavikuta nyumbani gari wanawekewa mafuta kwa kodi zetu huku wakitulimbikizia tozo ili waweze kujigawawia?

Kwanini Mchele na unga vimepanda bei kiasi hiki SIWAONI wakijitokeza na kuwaukiza wauzaji namuomba Mh Bashe aache siasa kwenye maisha ya watu ajitokeze atoe tamko; je Kuna njaa au upungufu wa vyakula?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ikibidi ifike hata 10,000..nenda kalime wewe afu uuze buku jero.
 
Huyo wa Mchele Supa kwa 1500 anataka awapige. Jamaa atawaibia. Kwa sasa hakuna Mchele wa chini ya 2000 sasa mchini kwetu. Hata Morogoro na Mbeya hakuna mchele wa bei hiyo. Vyakula vimepanda bei sana na hali ni ngumu sana.

Hakuna vyakula kwa sasa. Huyo waziri ni wa hivyo anapiga mdomo tu na hapo Wizarani wanamdharau sana. Anaongea sana ili amfurahishe na kumzubaisha Hangaya kwani ni mpigaji. Mbolea za ruzuku na mfumo wao utamuacha uchi muda si mrefu.
Hapo kwenye bei ya mchele sh 1,500, Mkuu upo sahihi kabisa. Tena ungekuwa karibu na mimi ningekununulia lunch leo. Kwa kweli hamna mchele wa sh. 1,500. Hata zile chenga za kutengenezea vitumbua zinauzwa sh 2,000. Sababu kubwa ya kupanda kwa mazzao hususani mchele na mahindi ni kutokana na gharama kubwa za uzalishaji. Mimi mwenyewe ni mkulima wa mpunga kule Kyela, bila sh 2,500 kwa kilo kwa bei ya jumla (shambani)hupati mchele. Tusiilamu sana Serikali kuwa haichukui hatua, kwa sababu hiyo ndio hali ilivyo Duniani kote. Tena afadhali Tanzania kuliko majirani zetu wa Kenya, Zambia na Uganda. Kwa upande wa Kenya imeiomba Tanzania isiziuzie nchi nyingine nafaka ila iuziwe yenyewe.
 
Acha kudanganya hivi mnafikiria wakulima wa sasa ni sawa na wale w miaka 1980s, wakulma wa sasa kwanza jua wengi wana mitaji na ndio wanafanya kilimo biashara, wanalima, wanatenga chakula chao, the rest wanapeleka kwenye magara ya kuhifazi, na ndio hao sasa wanauza mchele sasa last months nimepeleka viazi Zambia na tulikuwa na wakulima kibao wa mpunga tokea mbarali wapo kuuza, acheni kujidanganya.
Hujui chochote bora ungekaa kimya, hao unaosema wanaweka chakula kwenye maghala ni wachache mno wakulima walio wengi ni hawa wenye kulima heka tano kushuka chini na ndo hawa wanaopata gunia tano mpaka kumi kwa heka msimu unapofika wa mavuno ,watavuna nakuuza kwa bei ya chini kulipa madeni ya pembejeo nk,mavuno yakikata nao wanaingia kwenye mkumbo wa kununua bei juu ya mazao hao unaosema wanenda sijui wapi kuuza ni wale walionunua kutoka kwa wakulima na kuja kuuza ,
hizo zingine ni story tuu fuatilia vizuri uelezwe . Karibu shambani.
 
Hakuna mkulima aliyeuza mchele zaidi ya tsh 1300 kwa kg waliopandisha bei hizo niwafanya biashara na serikali kuruhusu mchele na vyakula vingine kuuzwa nje ya nchi kabla hatujawa na stock ya kutosha ndani ya nchi, leo hiii huyo mkulima naye ni muathirika wa kununua mchele dukani tsh. 2800 na zaidi sababu chakula kingi alikiuza kwa bei ndogo kipindi cha msimu wa mavuno. Vita y ukrain mnaisingizia tuu bure.
Vitu viwili hapa, kwanza watu watambue kilimo ni biashara na Mkulima anahaki ya kupanga bei sambamba ni ghara za biashara yake, 2 Jamii isaidiwe kufundishwa umuhimu wa kutengeneneza maghara ya familia ya chaukla kwa muda maalum.

Kwenye eneo la kwanza, Mkulima amekuwa mnyonge sana kwa kuwalisha wengine yeye akiingia hasara( Mwakajana bei za pembejeo zilikuwa juu sana), hana msaada wowote, yeye amekuwa target ya wafanyabiashara, serikali kuchukua maushuru na wafanyakazi kula mazao yake bila kujali yeye anaishije. Nadhani kupanda kwa bei iwe uamsho kwa kila mtu kujua umuhimu wa kuwasidia wakulima ili wote tuwe fair.

Lapili nimuhimu kuwa na bajeti ya muda mrefu na uhifadhi wa vyakula kama nchi na kama mtu mmoja mmoja, ili kile tuachouza njee kiwe ni surplus tu. hii itatusidia kuzuia mifumuko ya bei pia, kuongezeka kwa bei pamoja na biashara lakini, gharama za usafiurshaji, ongezeko la tozo kwenye mageti na kuongezeka kwa mageti na uratibu mbaya ni changamoto kwa kukuza sector ya kilimo. Bado nakubaliana na wazo la waziri kuruhusu kusafirsha chakula kibiashara hili litatuonyesha uhitaji wetu halisi na namna bora ya kuboresha maisha ya wakulima na kuwajali, lakini pia bei zikiwa nzuri zitavutia mitaji zaidi ili watu walime wakijua watapata hela.
 
Hawa mawaziri wetu wamekuwa kama yule mpuliza filimbi wa Hamelin I kelele nyingi sana; wanashindana na MITANDAO leo nimeona kwenye tangazo moja mchele supaa kabisa kilo 1500 kutoka mikoani , akini kwa madukani na rejareja hapa Dsm Mchele unaofaa kula Sasa hivi ni 2800 na 3000.

Kwaninj tumefikia huko kama vyakula vipo. Je, nini kimesababisha bei kupanda mara mbili tatizo hapa lipo kwa wanasiasa sijui kwasababu wao wananunuliwa vyakula wanavikuta nyumbani gari wanawekewa mafuta kwa kodi zetu huku wakitulimbikizia tozo ili waweze kujigawawia?

Kwanini Mchele na unga vimepanda bei kiasi hiki SIWAONI wakijitokeza na kuwaukiza wauzaji namuomba Mh Bashe aache siasa kwenye maisha ya watu ajitokeze atoe tamko; je Kuna njaa au upungufu wa vyakula?
Mkoa gani huo wanauza mchele supa 1500?
 
Hakuna mkulima aliyeuza mchele zaidi ya tsh 1300 kwa kg waliopandisha bei hizo niwafanya biashara na serikali kuruhusu mchele na vyakula vingine kuuzwa nje ya nchi kabla hatujawa na stock ya kutosha ndani ya nchi, leo hiii huyo mkulima naye ni muathirika wa kununua mchele dukani tsh. 2800 na zaidi sababu chakula kingi alikiuza kwa bei ndogo kipindi cha msimu wa mavuno. Vita y ukrain mnaisingizia tuu bure.
Mimi ni Mkulima nimeuza kwa sh 2,800 kwa kilo.
 
Huyo wa Mchele Supa kwa 1500 anataka awapige. Jamaa atawaibia. Kwa sasa hakuna Mchele wa chini ya 2000 sasa mchini kwetu. Hata Morogoro na Mbeya hakuna mchele wa bei hiyo. Vyakula vimepanda bei sana na hali ni ngumu sana.

Hakuna vyakula kwa sasa. Huyo waziri ni wa hivyo anapiga mdomo tu na hapo Wizarani wanamdharau sana. Anaongea sana ili amfurahishe na kumzubaisha Hangaya kwani ni mpigaji. Mbolea za ruzuku na mfumo wao utamuacha uchi muda si mrefu.
Kwaiyo unataka chakula Cha Bei rahisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei hazishishwi kwa matamko

Uzalishaji mkubwa ndo husababisha bei ishuke
Tz ilifungulia soko lazima bidhaa ipande
 
Hilo swali lako lina majibu kitambo sana,Tulitoka kwenye Covid, then ikaja vita ya Russia vs Ukraine hivi viliathiri pakubwa upatikanaji wa mbolea, then ukichukua tatizo la ukame mwaka jana, vinafanya cost za uehdeshaji mashamba kuwa kubwa, impact yake ndio bei za sasa, ila bado naona vyakula bei ipo chini iongezeke tu.
Upumbavu mtupu
 
Kwa sisi wakulima Bei hiyo Ni ndogo kulingana na gharama za kilimo.nyie watu wa dar es salaam bidhaa zenu za viwandani mnapandisha wakulima wananunua tu, kama mnaona kuna faida nendeni kalime.
Kwa hili nampogeza mh Bashe.
 
Back
Top Bottom