Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Hivi Waziri wa Fedha ana taarifa bei za vyakula hazishikiki huko masokoni?
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa. Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa. Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...