Waziri Bashe: Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakayekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula.

Aidha, Waziri Bashe amefafanua kuwa serikali ina akiba ya chakula zaidi ya tani laki mbili ambazo zitatoshelaza mahitaji ya wananchi katika mikoa itakayopungukiwa chakula.

Katika kuhakikisha kuwa chakula kinawafikia walengwa kwa bei nafuu, serikali kupitia wakala wa Taifa wa Hifadhi ya chakula NFRA, itaweka vituo katika ngazi ya halmashauri na kuwauzia wananchi chakula kwa bei ya rejareja.

Kuhusu changamoto ya kupanda kwa bei ya mbolea Mhe. Bashe tatzo hill limetokana mabadiliko ya bro za mbolea katika soko la dunia.
Kuhusu hatua zilichukuliwa na serikali kutatua chamoto ya bei ya Mhe. Bashe mesema leo atakaa pamoja na viongizi wa kampuni kumi za waagizaji wa mbolea ili kujadiliana namna bora ya kutatua changamoto hiyo.

Aidha Mhe. Bashe amesma kikao chake na waagizaji wa mbolea kinalenga kutafuta ufumbuzi wa muda mrefu wa tatizo la bei ya mbole kama alivyoelekeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.

IMG-20220120-WA0104.jpg
 
View attachment 2089726
Awesome
 
Back
Top Bottom