Waziri Bashe tafakari uwezo wako kabla hujaharibu kabisa sekta ya Kilimo

Kuna mbunge mmoja jana amemwambia "unachukua vijana wenye viduku mjini unawapa mashamba hawataweza,halafu unampa zao hadi kuvuna ni miaka 4,watayakimbia tu?kilimo sio kazi rahisi hivyo.
 
Kuna mbunge mmoja jana amemwambia "unachukua vijana wenye viduku mjini unawapa mashamba hawataweza,halafu unampa zao hadi kuvuna ni miaka 4,watayakimbia tu?kilimo sio kazi rahisi hivyo.
Hao wakulima wadogo bila ya ruzuku na utaratibu wa kangomba awaendi na wamezaliwa vijijini na kuishi maisha ya kilimo.

Seuse hawa anaowaokota kwa sasa mambo yana onekana ni rosy kwa sababu serikali ina fund kila kitu; ngoja siku itakapo waacha wajitegemee ndio itaelewa.

Ni mpango ambao aujafanyiwa tathmini ya kina kwenye sustainability. Tanzania ni hadithi ya abunuasi kukata tawi upande aliokalia; mpaka baada ya madhara ndio uona walipokosea. Too late by then.
 
Ndugu Tanzania toka enzi za nyerere hatukuwahi kupata waziri mzuri kama bashe, ambaye anasimamia utekelezaji bila kupepesa macho, unachoandika ni wivu tu wa mbagala ndugu kufungua gas stations ni kitu kidogo sana kwa mbunge yeyote maana wana mikopo ya ubunge na mafuta unakopeshwa . pili kuhusu aina ya miradi gharama ya kusafisha kuweka miundo mbinu ya barabara umeme na mifumo ya umwagiliaji mbona hiyo ghrama ndogo sana
 
Ndugu umetembea nchi gani ukaona hiyo mifano? hapa Canada wakulima wote wamewezeshwa sana kuanzia barabara za lami mpka kufikia kila shamba , wanapewa ruzuku za mbolea na startups grants sisi watanzania tulivyo mbumbumbu tunataka mkulima ajitese mwenywe na tumpangie na bei ya kuuzia ndo maana kama nchi tumejaza wchuuzi na wauza genge kila mahali na bodaboda tu . BASHE NA SAMIA WANAJARIBU SANA KUMKOMBOA MTANZANIA SHIDA NI NYIE MABWEGE
 
Kuna mbunge mmoja jana amemwambia "unachukua vijana wenye viduku mjini unawapa mashamba hawataweza,halafu unampa zao hadi kuvuna ni miaka 4,watayakimbia tu?kilimo sio kazi rahisi hivyo.
HIYO NI SHIDA YA WABUNGE WENYE MIDOMO KAMA PAROT HAWATOI SUHUHU NDO MAANA MAGUFULI ALIKUWA ASIKILIZI CHA MTU YYEY ANATENDA TU, MAANA UKIWASIKILIZA WATANZANIA UTAKWAMA SANA
 
Wakulima huko Canada ni watu waliokotwa mijini? Au Canada mtu yeyote anaweza okotwa na kupelekwa rural area kwenda kulima.

Wewe unasema serikali inawapa ruzuku, inawajengea barabara na miundombinu kwa hela za walipa kodi. Huku nako serikali inafanya hivyo hivyo ila Bashe na wakulima uchwara wanadai watu wa mjini awana mchango kwenye kilimo sasa hizo expenditures wanazitoa mifukoni mwao au zinatoka kwa watu wa mjini.

Huko Canada asilimia kubwa ya wananchi wanaishi kwa chini $2 kwa siku, kiasi kwamba bei ya chakula ni sensitive watu wengi wanaishi kwa mlo mmoja tu kwa siku.

Huko Canada umeshasikia mzazi anapiga mtoto nusu kuuwa kisa kapoteza dollar tano aliyotumwa kununua mkate na maziwa. Huku Tanzania poteza hela ya mboga cha moto ukione; wazazi wamepata shida kuipata hiyo hela.

Huku Tanzania kuna government handouts kama Canada zinazotokana na threshold ya mapato, ambapo maskini unaweza pewa rent, ukalipiwa child care, income support na misaada mingine.

We can go and on; uwe unafikiria kabla ya kufananisha nchi maskini na tajiri. Ushawahi kusikia food bank Tanzania au sehemu yoyote inalisha watu maskini kama huko Canada.
 
Mkuu hao ni chawa wake kawajaza kibao humu, badala ya hizo pesa kutumika ndivyo sivyo kwenye project ya mchongo zingeingizwa kama ruzuku kwenye pembejeo za wakulima.

Kwa huu ujajnja ujanja wa watu kutaka kujinufaisha binafsi tunaenda kutengeneza crisis kubwa ya chakula hapo mbeleni. Maana hadi hapa tunapoongea bei za nafaka zipo juu sana na zimeadimika kwenye masoko.
 
Kwanza ni kweli nchi hazinanani sawa. Je wapi pa kuanzia? hawakuokota watu mpaka leo kuna immigrant program ya kupush immigrant mashambani wapewe ardhi na mitaji bure ipo google, pili Hao wakulima knye majimbo makubwa ndo waliwezesha wakulima wapya knye majimbo madogo na progra ilianza hivi hivi kwa anayetaka , kuna waliopenda kuna waliokataa kuna waliofeli baadae wakapatikana waliokaza na wakawa matajiri, HATA bbt ITAZALISHA AINA ZOTE ZA MATOKEO, HASI , CHANYA lakini matumaini chanya watakuwa wengina watachochea watu wengi waingie knye kilimo sasa kama biashara badala ya kufungua baa na groceriies kila mahali. Kuhusu kuwezeshwa lazima tuchukue pesa za watu wengine wote tuwekeze kwenye miundombinu ya kilimo na umwagiliaji matekeo yake hela itarudi mara 35 kwaa sababu ya multiplier effect yake knye economy
 
Hakuna serikali duniani isiyojitosheleza yenyewe duniani ikafanya mambo yanayofanyika Tanzania na kauli za madharau wanatozoa viongozi wao kwenye majibu wananchi wakaichagua tena baadae.

Au hata asasi za raia, vyombo vya habari na vyama vya upinzani vikatoka hapo na kusifia wanaupiga mwingi. Yanayoendelea kwenye chakula sasa hivi ata nchi zilizoendelea ndio vita ya siasa ilipo kushusha inflation hasa ya bei za chakula na nishati. Huku tunaambiwa mtajijua wenyewe kama vipi nenda na wewe ukalime.
 
Onyesha niliposema. Namjua Bashe kuliko mashambulizi ya Insta
Onyesha niliposema. Namjua Bashe kuliko mashambulizi ya Insta
basi nisamehe kwa sababu naona kama watu wanamshambulia Bashewakati toka awamu ya tatu tulikuwa tunalilia hichi hichi anachotaka kukifanya bashe, tuseme bashe na Rais SAMIA KWA SABABU BILA BARAKA ZA RAIS mpango ungeshindwa
 
BASHE=BOMU.

Kuripuka ni suala la muda tu.

Muulize anafanya jitihada Gani kuhakikisha Bei ya pamba inapanda Kutoka 1000 kwenda 1,800 atakwambia anamalizia kupima na kusafisha mashamba ya vijana wa UVCCM Kwa gharama ya ml 17 Kwa hecta moja.
 
Tena knye kupanga bei ya chakula hapo ndo tuharibu kabisa , bora sasahivi mipaka ipo wazi na iendelee kuwa wazi ili mkulima auze kutokana na alivyozalisha kama zilivyo bidhaa zingine . Mtu ukiona ghali si unaacha kula wali unachagua muhogo wa bei chee ukiona ghali unalima mwenyewe au mbona knye kuku unaweza kuchagua ule kuku au temebele ?kutokana na gharama za kuzalisha kuku au tembele period, sio kushinda mitandaoni kulaumu kila kitu
 
BASHE=BOMU.

Kuripuka ni suala la muda tu.

Muulize anafanya jitihada Gani kuhakikisha Bei ya pamba inapanda Kutoka 1000 kwenda 1,800 atakwambia anamalizia kupima na kusafisha mashamba ya vijana wa UVCCM Kwa gharama ya ml 17 Kwa hecta moja.
Yaani nina hamu sana SAMIA angemlinda kama magufuli alivyokuwa analinda viongozi watendaji enzi zake
 
Ndio maana nikaandika kilimo ni lifestyle sasa mpaka waalike wakulima kutoka nje elewa watu wa mjini sio wakulima. Na hao migrants condition lazima itakuwa wanajua kufanya shughuli za kilimo.

Canada is vast na nadhani ni less than 10% of the land is occupied so kuna sababu luluki za kuvutia kwenye kilimo; matter of fact kila kada wana ata proffesional visas kwa skilled workers kwenye kada kadhaa kama madaktari na sehemu.

Canada ni very very very kwenye natural resources ya mafuta, madini, bado wana industry kubwa na tax base kubwa ya ku afford hayo mambo unayosema kirahisi.

Embu rudi kuongea mambo kwa uhalisia wa Tanzania sio kuunga story za nchi za ulaya kama vile mgeni ambae umeenda huko ata miaka 5 ujafikisha; hakuna diaspora mwenye 10 years anaweza fananisha mambo ya hizo na Tanzania ni tofauti yake ni usiku na mchana.
 
ACHANA nae huyo!

Yupo kwenye pay roll ya somalia!!
simjui wala hanijui na hawezi kunilipa ninafanya biashara zangu nje ya Tanzania lakini ni mmoja wa waliofilisika mwaka 2015 kwa kuwekeza knye kilimo kikubwa halafu mipaka ya nchi ikafungwa nikauza mahindi gunia 2600 kwa elfu 10 kwa gunia wakati nina mkopo wa benki, toka kipindi hicho nilichukia sana kilimo cha tz ndo maana nina uchungu mno nimeathirika na najua shida ni wapi kuliko wengi wenu humu. BASHE NA SAMIA ANGALAU WANATOA MWANGA. Labda nitarudi kulima ngano kama nitapewa ekari 5000
 
Unafahamu maana ya main staple diet?

Pamoja na bei ya bidhaa nyingi za chakula kupanda usikii watu wakilalamika sana kama ilivyo kwenye mchele na bei ya sembe; hiyo ndio main diet ya watanzania na nchi majirani.

Hakuna anaesema serikali au wakulima wasiuze nje, isipokuwa inawajibu pia wakuhakikisha stability ya bei ya chakula ili wananchi wake wa mudu bei na wasilale njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…