Waziri Bashe tafakari uwezo wako kabla hujaharibu kabisa sekta ya Kilimo

Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16!

Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri kaachana na mpango mkakati wa kilimo (ASDP II) ambao haukupata pesa za kuuendeleza. Sasa anapewa pesa za Kilimo, kijana anazipiga kupitia mpango wake wa mfukoni. Ubunifu binafsi. Kwa miaka yake miwili hakuna manufaa kwa mkulima wa kijijini, Bashe anahangaika na show za mjini.

Ni kwa nini rais amenyamaza wakati kinachotekelezwa siyo mpango wa serikali? Je, ndo mbinu ya mkuu wetu kujinufaisha kupitia kwa mawaziri na tenda za ujenzi wa mashamba na mabarabara? Tunadhani ni Bashe kumbe ni makusudi tu, pesa ipondwe. Pikipiki pekee zilinunuliwa kwa mabilioni, bila hata sababu. Hatujaona manufaa yake sasa kuna mpango wa Bashe kwa vijana.

Alichosema Mdee yuko sahihi! Ni vibaya sana kutumia pesa za serikali kunufaisha wachache kwa jina eti vijana ktk kilimo. Yaonekana hata waziri hana ramani ya mikoa ya kilimo ktk nchi hii ndo maana anafungua mashamba Dodoma. Badala ya kujibu maswali bungeni kijana wa kisomali kaja na takwimu za mitandaoni na kujidai English ambayo imemkataa siku zote.

Hii imeniuma na nimekumbuka kwamba Bashe hakuzaliwa Tanzania. Amejiandikisha ili awe m-Tanzania, tena kwa mbinu nyingi na urafiki wa wanasiasa wetu. Kuna haja kubwa ya kuangalia nani anastahili kupewa nafasi za uwaziri kama ilivyo kwa nafasi ya rais.
chuki tu imekujaa huna kingine. Utakufa na chuki zako watanzania tunamwunga mkono ni kijana mbunifu sana na mchapakazi.
 
Ndio maana nikaandika kilimo ni lifestyle sasa mpaka waalike wakulima kutoka nje elewa watu wa mjini sio wakulima. Na hao migrants condition lazima itakuwa wanajua kufanya shughuli za kilimo.

Canada is vast na nadhani ni less than 10% of the land is occupied so kuna sababu luluki za kuvutia kwenye kilimo; matter of fact kila kada wana ata proffesional visas kwa skilled workers kwenye kada kadhaa kama madaktari na sehemu.

Canada ni very very very kwenye natural resources ya mafuta, madini, bado wana industry kubwa na tax base kubwa ya ku afford hayo mambo unayosema kirahisi.

Embu rudi kuongea mambo kwa uhalisia wa Tanzania sio kuunga story za nchi za ulaya kama vile mgeni ambae umeenda huko ata miaka 5 ujafikisha; hakuna diaspora mwenye 10 years anaweza fananisha mambo ya hizo na Tanzania ni tofauti yake ni usiku na mchana.
Kweli sijafikisha ten yrs lakini nimekuwa very successful knye biashara kwa muda mfupi kwa kutumia hivi hizi governments incentives na grants zao, naingia barabarani ni asubuhi nikifika ofisini ntakujibu hoja zako taratibu sana
 
It was obvious ukishakaa muda huko utaelewa kwanini waliokuzidi muda awafananishi mambo ya hizo nchi na Tanzania.

Roughly without official research 40% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa ni diaspora wanaoishi developed nation, awasemi tu na awatolei mifano ya sera za nchi wanazo ishi kwasababu uwezo ni tofauti.

Good timing ata mimi kwangu muda wa kufanya shughuli zingine.
 
HIYO NI SHIDA YA WABUNGE WENYE MIDOMO KAMA PAROT HAWATOI SUHUHU NDO MAANA MAGUFULI ALIKUWA ASIKILIZI CHA MTU YYEY ANATENDA TU, MAANA UKIWASIKILIZA WATANZANIA UTAKWAMA SANA
Hapana alipendekeza kuwa ni bora kuwatumia vijana ambao tayari wanajishughulisha na kilimo wawezeshwe!!na walime mazao yanayotumia muda mfupi kukomaa (miezi 3-6) kwani itawafanya wapate pesa mapema.
 
Hivi unachukuaje Wananchi Mtaani unawapa Mashamba Wakalime .. Wakati una Chuo cha Kilimo (SUA). Kwanini Usichague Hekari kadhaaa hii nchi ukawapa Vijana waliohitimu hapo Wakaleta Tija kwenye Kilimo kuliko kunichukua mm wa mtaani
 
Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16!

Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri kaachana na mpango mkakati wa kilimo (ASDP II) ambao haukupata pesa za kuuendeleza. Sasa anapewa pesa za Kilimo, kijana anazipiga kupitia mpango wake wa mfukoni. Ubunifu binafsi. Kwa miaka yake miwili hakuna manufaa kwa mkulima wa kijijini, Bashe anahangaika na show za mjini.

Ni kwa nini rais amenyamaza wakati kinachotekelezwa siyo mpango wa serikali? Je, ndo mbinu ya mkuu wetu kujinufaisha kupitia kwa mawaziri na tenda za ujenzi wa mashamba na mabarabara? Tunadhani ni Bashe kumbe ni makusudi tu, pesa ipondwe. Pikipiki pekee zilinunuliwa kwa mabilioni, bila hata sababu. Hatujaona manufaa yake sasa kuna mpango wa Bashe kwa vijana.

Hii imeniuma na nimekumbuka kwamba Bashe hakuzaliwa Tanzania. Amejiandikisha ili awe m-Tanzania, tena kwa mbinu nyingi na urafiki wa wanasiasa wetu. Kuna haja kubwa ya kuangalia nani anastahili kupewa nafasi za uwaziri kama ilivyo kwa nafasi ya rais.

Wakati was jiwe hamkuhoji habari za kuzaliwa
 
Yaonekana hata waziri hana ramani ya mikoa ya kilimo ktk nchi hii ndo maana anafungua mashamba Dodoma.
wewe sema una chuki binafsi na huyo Waziri lakini mashamba Dodoma yako tangu enzi za miaka ya tisini, mfano yale ya umwagiliaji ya Bahi. Je na hayo amefungua yeye?
 
Ndugu umetembea nchi gani ukaona hiyo mifano? hapa Canada wakulima wote wamewezeshwa sana kuanzia barabara za lami mpka kufikia kila shamba , wanapewa ruzuku za mbolea na startups grants sisi watanzania tulivyo mbumbumbu tunataka mkulima ajitese mwenywe na tumpangie na bei ya kuuzia ndo maana kama nchi tumejaza wchuuzi na wauza genge kila mahali na bodaboda tu . BASHE NA SAMIA WANAJARIBU SANA KUMKOMBOA MTANZANIA SHIDA NI NYIE MABWEGE
Nakubaliana na wewe katika hilo la kujenga barabara za lami vijijini ila sio haya ya kukusanya wakulima sehemu moja kutoka mjini na kuandaa mashamba ya Hekta 1 kwa milioni 17. Mbolea za ruzuku hata yeye Bashe amekiri imekuwa na matatizo.
 
Kwanza ni kweli nchi hazinanani sawa. Je wapi pa kuanzia? hawakuokota watu mpaka leo kuna immigrant program ya kupush immigrant mashambani wapewe ardhi na mitaji bure ipo google, pili Hao wakulima knye majimbo makubwa ndo waliwezesha wakulima wapya knye majimbo madogo na progra ilianza hivi hivi kwa anayetaka , kuna waliopenda kuna waliokataa kuna waliofeli baadae wakapatikana waliokaza na wakawa matajiri, HATA bbt ITAZALISHA AINA ZOTE ZA MATOKEO, HASI , CHANYA lakini matumaini chanya watakuwa wengina watachochea watu wengi waingie knye kilimo sasa kama biashara badala ya kufungua baa na groceriies kila mahali. Kuhusu kuwezeshwa lazima tuchukue pesa za watu wengine wote tuwekeze kwenye miundombinu ya kilimo na umwagiliaji matekeo yake hela itarudi mara 35 kwaa sababu ya multiplier effect yake knye economy
Pa kuanzia ni kujenga miondombinu ya barabara na umwagiliaji vijijini kwa wakulima na mashamba yaliyopo sasa ya mazao muhimu ya alizeti, ngano, miwa, parachichi, mahindi na mpunga badala ya kwenda kuanzisha vitu vipya na kutaka kufanya kila kitu wakati hakuna hizo pesa.
 
Ulinzi alionao Bashe ni Udini. Hapo ndo nalaani dini. Yaani mtu anaona mtu ni mwizi lakini anamkumbatia kwa kuwa tu ni mwislamu. Kwani hakuna waislamu wema? Kwani hatuna waislamu wa-TZ kuliko huyu msomali aliyejiandikisha kuwa m-TZ?
Unamchukia sana Bashe, Yaelekea alimkunja viliyo mkeo. Inatakiwa alaumiwe kama project yake itakwama.
 
Bashe anawaambia vijana wakalime, yeye anajenga vituo vya mafuta njia nzima ya kibaha. Sijui katoa wapi mtaji huo! Ni hizo milioni 16 kwa ekari. Yaani kazi ya milioni 5 yeye anatumia milioni 16!

Hebu tuongelee tabia na maelezo ambayo aliyatoa juu ya kilimo. Huu ni uchafu tu! Yaani waziri kaachana na mpango mkakati wa kilimo (ASDP II) ambao haukupata pesa za kuuendeleza. Sasa anapewa pesa za Kilimo, kijana anazipiga kupitia mpango wake wa mfukoni. Ubunifu binafsi. Kwa miaka yake miwili hakuna manufaa kwa mkulima wa kijijini, Bashe anahangaika na show za mjini.

Ni kwa nini rais amenyamaza wakati kinachotekelezwa siyo mpango wa serikali? Je, ndo mbinu ya mkuu wetu kujinufaisha kupitia kwa mawaziri na tenda za ujenzi wa mashamba na mabarabara? Tunadhani ni Bashe kumbe ni makusudi tu, pesa ipondwe. Pikipiki pekee zilinunuliwa kwa mabilioni, bila hata sababu. Hatujaona manufaa yake sasa kuna mpango wa Bashe kwa vijana.

Alichosema Mdee yuko sahihi! Ni vibaya sana kutumia pesa za serikali kunufaisha wachache kwa jina eti vijana ktk kilimo. Yaonekana hata waziri hana ramani ya mikoa ya kilimo ktk nchi hii ndo maana anafungua mashamba Dodoma. Badala ya kujibu maswali bungeni kijana wa kisomali kaja na takwimu za mitandaoni na kujidai English ambayo imemkataa siku zote.

Hii imeniuma na nimekumbuka kwamba Bashe hakuzaliwa Tanzania. Amejiandikisha ili awe m-Tanzania, tena kwa mbinu nyingi na urafiki wa wanasiasa wetu. Kuna haja kubwa ya kuangalia nani anastahili kupewa nafasi za uwaziri kama ilivyo kwa nafasi ya rais.
Mazito haya mambo...
 
Kikubwa hapa ni hoja ya uraia
 
Siku mtakayo stuka itakuwa too late

I told you two years ago kwa Bashe hamna kitu hapo zaidi ya upigaji na mipango ya hovyo ya kuchezea hela za walipa kodi.

Huwa anaongea vitu ambavyo havina maana 90% of the times. Mfano anakiri 75% ya nchi ikiwa na wakulima hiyo ni nchi maskini. Sasa kutoka huko kunahitaji sera imara za kuvutia uwekezaji wa viwandani au kuongeza wakulima.

Pili pamoja na huo upotevu wa hela unaofanywa huko mashambani mbele baada ya miaka 3-4 tutarudi hapa baadhi ya mashamba kutekelezwa serikali mara tu serikali itakapoacha kuwasaidia hao vijana na kuwataka kujitegemea. Wengi watashindwa kuendeleza na kusimamia hayo maeneo.

Community farming wazungu washafanya miaka 200 iliyopita it didn’t work kwa sababu nilizotaja. Ndio maana kuna wakulima wachache wenye maeneo makubwa; halafu farming ni lifestyle ili uwe mkulima mzuri na uipende hiyo kazi inabidi uwe tayari na kuishi hayo maisha.

The guy is just useless, tutarudi hapa madhara yatakapokuwa wazi. Kwa sasa wafanye wanavyotaka, sisi walalahoi tunataka kuona price stability kwenye chakula. Huko kwenye ufisadi kila mtu anafanya kama wenye mamlaka ya kuwateua na kuwamakata inaona na zipo kimya sisi hakina nani tulalamike.

Eti dunia ije kujifunza Tanzania block farming ‘someone tell this minister, to google feudalism in agrarian society’ aone wazungu huo upuuzi waliachana nao lini na kwanini upande wa kilimo.
Wanazalisha halafu wanategemea mazao hayo yakauzwe soko la nje yaani huko mataifa ya nje. Kwahyo soko likicheza tu huku nje huo mradi unakuwa kushney.

Ifike wakati tuanze tuwekeze katika kuzalisha mazao ambayo tunatumia wenyewe kama mazao ya Biashara ya chakula kama Mchele, maharage, ndizi, matunda, ufuta, Ngano, mahindi, viazi, na mifugo.

Huko tutaweza hata kuboresha uchumi wetu. Sasa unasikia uzalishaji wa mikonge, sijui chikichi, mara pamba, mara gold, mara mafuta, mara uranium, sisi hivyo vitu hatutuumii na hata tukijiweka huko miradi haigusi sehemu kubwa ya wanajamii.
 
Back
Top Bottom