Sio magenge na boda boda tu, ongeza na haya;
1.Saloon kila kona.
2.Vi-pub kila kona.
3.Grocery kila kona.
4.Kubani cd kila kona.
5.Baa kila mtaa.
6.Vijiwe vya umbea kila mtaa
7.Maduka ya nguo special kila uchochoro.
8.Maduka ya vipodozi kila uchochoro.
9.Kuuza mbususu kila kona
10.Ubaa medi kila uchochoro.
11. Minyanduano kila uchochoro.
Nguvu kazi tuliyonayo ikijikita katika uzalishaji kama ubunifu uliofanywa na Serikali (BBT), baada ya miaka michache taifa litakuwa mbali sana.
TUNAPENDA UCHUUZI NA KAZI LAINI LAINI.
Tusilaumu na kubakia na utitiri wa import ready made products kila uchochoro.
Sent using
Jamii Forums mobile app