John makonda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 263
- 246
Umeeleweka ulikwenda kujalibu kilimo ukakuta changamoto zake ukaludi ni sawa kabisa.Kwenye mbolea wala usimzungumzie yeye mwenyewe kasema Kuna tatizo kubwa. Alafu kaficha ukweli wa hilo tatizo
Hebu angalia hapo mkoa kama katavi wenye wakulima wengi waliopata mbolea ni 10,000 tu
Mimi ni mmoja wa watu niliorudi na mtaji baada ya kumsikiliza sana nikaamua niingie kwenye kilimo nione, nimezunguka maeneo mengi kukusanya taarifa ili nianze sababu ya maneno yake. Mwisho wa siku nilijuta kupoteza muda wangu. Mbolea unapanga foleni duka 1, unasubiri kusajiliwa wiki nzima na bado mbolea huipati. Alafu wanatokea watu wanakuambia kuna mbolea za diliView attachment 2617925
Shughuri ya kilimo ina wenyewe wewe sio shughuri yako ulitaka kujalibu ukashindwa .
Huwezi kutoa uthibitisho kama hukufanya jaribio