The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #201
Maneno na vitendo 👇Hebu muwe mnatuwekea hata maeneo vinako jengwa hata kwa majina ya maeneo husika....isije kuwa ya ile ya REA eti vijijini takribani elfu 9 vina umeme kati ya vijiji elf 12 kumbe ni takwimu tuu