Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

Mtu wa kijijini kule Ngara Mumilamila au wa kule Kigoma kayanza ndani ndani huko hii katiba inamsaidia nini?.

Mama anayeupata umeme miaka ya sasa anayasubiri maji yamfikie ili maisha ya kawaida yawe kweli ni ya kawaida kwake, na umri wa kuishi wa mtanzania angalau usogee kuliko huu wa sasa.

SSH anayo mengi mno ya kutekeleza naona kama hii katiba itasubiri mpaka kazi fulani ya kuonekana iwe imefanyika. Nyinyi wanaharakati endeleeni tu kuanzisha uzi hapa JF kwani ni bure kabisa kufanya hivyo.
Wewe Bukililo ni bure kabisa, kwanini mnashindwa kuelewa chanzo kikubwa cha umaskini, ukosefu wa haki kisheria,ufisadi wa pesa, mikataba mibovu inayofanywa na serikali, wizi wa kura, viongozi kuwa miungu mtu etc chanzo ni katiba mbovu, nakupa mfano, kwanini kiongozi wa kisiasa kama mkuu wa wilaya awe na uwezo kukuweka ndani bila mashtaka? kwanini uchaguzi unasimamiwa na watu ambao ni washindani kwenye huo uchaguzi? vipi haki ya mgawanyo wa pesa zinapokusanywa na namna zinapotumika? vipi haki ya wananchi kumwajibisha kiongozi fisadi? kuna watuhumiwa wamekaa miaka 10 jela bila kufunguliwa mashtaka eti uchunguzi haujakamilika? watu wanalima serikali inawakataza kuuza nje (WTF), kuna mambo mengi sana, na hayo maji na umeme wananchi tuna uwezo wa kujiletea kama haki ipo na tozo zetu zinafanya kazi inayotakiwa sio kununua landcruisers za waheshimiwa, angalia siku hizi shule binafsi zinapiga vibaya sana shule za serikali na wananchi wanajenga majumba mazuri lakini barabara zinazosimamiwa na serikali ni tope tupu, amini wananchi tuna uwezo wa kujiendeleza na maisha bora kuliko hiyo miradi ya matundu ya choo
 
Don't dare to compare Samia with Dhalimu,kila mtu anajua awamu ya 5 ilikuwa inapika Takwimu ndio maana haikuhitaji challenge..

Wewe kama una facts tofauti na hizi ziweke hapa.
Hivi kumbe Mh. alikuwa anakaa kwenye kiyoyezi pale magogoni mkabala bila hata kutoa ushauri wowote ule?

Yaani mtu mwenye akili zake amuone mdhalimu mbele yake asiseme kuwa ni mdhalimu naye ataitwa nani? Ni mwoga?

Tatizo ambalo hulioni hapa ni kuwa Awamu ya Tano na ya sita ni hayawezi kutenganishwa, kubadilisha kofia sio kubadilika kwa kichwa kama unavyotaka kuaminisha umma. Kama walipika hizo data wakati huo kuna nini kisiwazuie"zamu" yao wasipike?
CCM mnatabu sana. And by the way usinijibu na "mark my word"
Kubali ww ni wa kutumikia wenyewalikuwa hoi kwa Ufisadi.
The hearts and mind does not work, Biblia au Quaruan Does not work. Your carrot and stick mentality is abhorrent These are not times of the Eyo Honesty.
We have made you who you are today. Stop antagonism. Mh. Raisi is a public figure and so its the right of every Mwananchi kumweka kikangioni, hakuna, hakuna Mwananchi anyemxhukia Mh. Raisi kama wewe unavyotaka kutuhadaa na kutuaminisha. Wacha propaganda za Recolonization. Relax write your report to your superiors(not mine) and let them know that, "you have difficulties carrying on the work your forefathera started" And you should Direct your attention to your Poor and desolate.
Mr Sunk I have no quarrels with what you are trying to say but your insuation, insults, and uttmost disregard to my peoples I will oppose you everytime....your are trying to win your heart over my people with a philosophy that is screaming Colonisation.
Please Stop.
This is the 21 Centuary.

I detest your approach with all ill intention(might seem right to you). Read the John Gospel or Isaiah for your own sanity LoL
 
Ipi hiyo miradi ya maana iliyokwama?

Mil.400-500..

Kama mlituambia Mwendazake amejenga mahospital ya Wilaya iweje hiyo yenu ikwame? 😂😂.

Anyway kwa kukusaidia ni kwamba hospital hazijengwi kwa pesa kidogo bali zinajengwa kwa zaidi ya bil.1.5 hivyo kila mwaka serikali hutenga kiasi cha pesa hadi kuja kukamilisha hiyo miradi.

Unaweza soma maelezo ya Ummy hapa chini Kuhusu ujenzi unaendelea.

View attachment 2168463
Nadhani ni vyema utumie lugha/ kauli ya staha kuliko kukebei!
Naamini nawe siku moja utakufa, hivyo basi huna hati miliki ya uhai!,
Ingependeza sana ukatembelea hizo hospitali ukafanya karesearch kidogo kuliko hizo data za kwenye makaratasi!
Kwa sasa dawa zinapigwa kinoma halafu
 
Hivi kumbe Mh. alikuwa anakaa kwenye kiyoyezi pale magogoni mkabala bila hata kutoa ushauri wowote ule?

Yaani mtu mwenye akili zake amuone mdhalimu mbele yake asiseme kuwa ni mdhalimu naye ataitwa nani? Ni mwoga?

Tatizo ambalo hulioni hapa ni kuwa Awamu ya Tano na ya sita ni hayawezi kutenganishwa, kubadilisha kofia sio kubadilika kwa kichwa kama unavyotaka kuaminisha umma. Kama walipika hizo data wakati huo kuna nini kisiwazuie"zamu" yao wasipike?
CCM mnatabu sana. And by the way usinijibu na "mark my word"
Kubali ww ni wa kutumikia wenyewalikuwa hoi kwa Ufisadi.
The hearts and mind does not work, Biblia au Quaruan Does not work. Your carrot and stick mentality is abhorrent These are not times of the Eyo Honesty.
We have made you who you are today. Stop antagonism. Mh. Raisi is a public figure and so its the right of every Mwananchi kumweka kikangioni, hakuna, hakuna Mwananchi anyemxhukia Mh. Raisi kama wewe unavyotaka kutuhadaa na kutuaminisha. Wacha propaganda za Recolonization. Relax write your report to your superiors(not mine) and let them know that, "you have difficulties carrying on the work your forefathera started" And you should Direct your attention to your Poor and desolate.
Mr Sunk I have no quarrels with what you are trying to say but your insuation, insults, and uttmost disregard to my peoples I will oppose you everytime....your are trying to win your heart over my people with a philosophy that is screaming Colonisation.
Please Stop.
This is the 21 Centuary.

I detest your approach with all ill intention(might seem right to you). Read the John Gospel or Isaiah for your own sanity LoL
Usilazimishe upuuzi wa Mwendazake kichwani kwa Samia..

We kwa akili yako mpango anaweza amua muelekeo wa Nchi?

Na kwa akili yako kama alikuwa anashauri iweje saizi sera za Mwendazake zizikwe?

Mwisho seems hata huelewi muundo wa kiutendaji wa Serikali.
 
Nadhani ni vyema utumie lugha/ kauli ya staha kuliko kukebei!
Naamini nawe siku moja utakufa, hivyo basi huna hati miliki ya uhai!,
Ingependeza sana ukatembelea hizo hospitali ukafanya karesearch kidogo kuliko hizo data za kwenye makaratasi!
Kwa sasa dawa zinapigwa kinoma halafu
Kwa hiyo kufa na kutumia lugha ya staha vinahusianaje?

Mwendazake alikuwa tapeli mtaalamu wa propaganda kuhadaa wajinga like you.
 
Mahali pazuri kama wenzetu waliofanikiwa...

Vituo vinajengwa, balaa lipo kwenye huduma za viwango vizuri, pamoja na vifaa tiba kwa hili bado tupo nyuma
Hata nyumba huanza na msingi,mpe kongole Samia.

By the way nyie wa mijini hamuelewi chochote wala hamuoni impacts sie wa Vijijini ndio tunajua faida ya hivi kwa sababu hatuna alternative kama mjini.
 
Usilazimishe upuuzi wa Mwendazake kichwani kwa Samia..

We kwa akili yako mpango anaweza amua muelekeo wa Nchi?

Na kwa akili yako kama alikuwa anashauri iweje saizi sera za Mwendazake zizikwe?

Mwisho seems hata huelewi muundo wa kiutendaji wa Serikali.
Unaendelea na yale yale,
You do not have a pinch of moral authority. You do not have a bible or the quaran to instill your fear in me. Zilch.

Mwendazake ni upuuzi gani?
Samia ni Raisi wa Nchi and so you will Address her as President Samia Suluhu Hassan. Kapish!

Umedhihirisha hapo juu kuwa una translate haya, kwa sababu nilikuwa namsema huyo Mh. SSH alivyokuwa makamu wa Hayati Raisi John Pombe Magufuli kama mshauri wake mkuu. Umesoma Katiba? na sio Mh. Mpango kama unavyotaka kupindisha Kaffir ww
Hakuna sera iliyozikwa na nyie mabepari msahau hilo.

Mwongo mkubwa wewe. na propaganda zenu. This is not the times of Eyo Honesty.
 
Jinga kabisa ukiambiwa utaje majina ya hivyo vituo utaishia kujamba jamba tu na takwimu za uongo
 
Nao

Naomba unijibu maswali haya mawili marahisi.
1. Je, Samia amejenga hivyo vituo kwa pesa ya mshahara wake?
2. Je, hiyo mipango ya ujenzi ni mipya aliyoanzisha samia au ilikuwa kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm 2020 - 2025?
Hakupe orodha ya hivyo vituo, majina, location n.k
 
Hata nyumba huanza na msingi,mpe kongole Samia.

By the way nyie wa mijini hamuelewi chochote wala hamuoni impacts sie wa Vijijini ndio tunajua faida ya hivi kwa sababu hatuna alternative kama mjini.
Wewe ni mwongo mzandiki na Hatari kwa Usalama wa Taifa lelote sio Tanzania tu, rudisha fedha za wenyewe and report back to Exeter hall or wherever you came from. You are worst and you make Samuel Edgerley just as worst as you are.
Eti umetoka kijijini! Kijiji kipi hicho?
Toa propaganda zako hapa na ulegeee
 
Twende kwenye mada.

Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia.

Afya ikiwa ni moja ya kipaombele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya 233 Kwa mpigo.

Hii ni sekta moja tuu ya Afya,ukienda sekta ya maji hivyo hivyo, barabara hasa za Tarura kote mambo ya bam bam.

Licha ya wenye chuki nae kuwa busy kutunga uongo na uzushi lakini ukweli wa kwenye Takwimu unambeba.

Mungu mbariki Rais wetu,huyu sasa ndio anafaa aongoze hadi achoke kama Angel Markel.

Kazi iendelee [emoji116]

View attachment 2167103

View attachment 2167106

View attachment 2167107
Hili jamaa Lina akili mbovu nyumbu afadhari, hayo ni majengo sio hospital jaribu kutofautisha OK?
 
Wewe ni mwongo mzandiki na Hatari kwa Usalama wa Taifa lelote sio Tanzania tu, rudisha fedha za wenyewe and report back to Exeter hall or wherever you came from. You are worst and you make Samuel Edgerley just as worst as you are.
Eti umetoka kijijini! Kijiji kipi hicho?
Toa propaganda zako hapa na ulegeee
Uongo upi mbona mapovu hivyo Mzee,unanichukia mimi au Samia aliyejenga? 😂😂
 
Unaendelea na yale yale,
You do not have a pinch of moral authority. You do not have a bible or the quaran to instill your fear in me. Zilch.

Mwendazake ni upuuzi gani?
Samia ni Raisi wa Nchi and so you will Address her as President Samia Suluhu Hassan. Kapish!

Umedhihirisha hapo juu kuwa una translate haya, kwa sababu nilikuwa namsema huyo Mh. SSH alivyokuwa makamu wa Hayati Raisi John Pombe Magufuli kama mshauri wake mkuu. Umesoma Katiba? na sio Mh. Mpango kama unavyotaka kupindisha Kaffir ww
Hakuna sera iliyozikwa na nyie mabepari msahau hilo.

Mwongo mkubwa wewe. na propaganda zenu. This is not the times of Eyo Honesty.
Mshauri wake mkuu wa mambo gani? Kama alikuwa mshauri wake mkuu imekuaje sera zinaenda kinyume nyume?

😀😀😀 Panthetic
 
Back
Top Bottom