Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Kigezo cha umri wa mwombaji na kigezo cha mwaka wa kuhitimu kwenye PDF aloitoa anaona kiko Sawa?

2015 kaachwa na 2021 kachukuliwa.
Mathematics kuwa arts subjects?

Wale watu wa TAMISEMI huwa wanatuona hamna kitu kichwani?

Mnakatisha hamu vijana kusoma makusudi ili watoto wenu waendelea kula keki ya taifa.
 
Ajira za mwaka Jana hazikuwa na kerere Kama hizi, hapa lazima Bashungwa kazingua.
 
Wee acha hiyo kawapa joto wale wenye vyeti feki kuwa wanakaguwa alafu unakuta mtu alikua amepata asee kwani iyo system ipo jaman tuwape moyo hawa watu
 
Waombaji 123,000 wakachukuliwa 9800.

Na wakitangaza tena nafasi 11,000 watakuwepo wale 121,000 ongeza kontena la 2022 ambalo wengi wamo wa diploma za phz.

Hata mwakani watachukuliwa madogo wa 2022.

Lazima vijana muambiwe ukweli kuwa kuna ambao hamtaajiliwa kamwe na serikali.
 
Mheshimiwa raise pole na majukumu na hongera kwa kuupiga mwingi
Kuna changamoto kwenye timu yako ambayo lazima ufanye mabadiriko ya lazima.
Waziri wa tamisemi bashungwa hawezi nafasi uliyompa ni kubwa mno.
Kuna kilio mtaani juu ya ajira za walimu zilizotoka hii sitaki kulizungumzia
Kuna selection mbovu sana za kidato Cha Tano sijui kama anajua
Kuna ongezeko la upigaji mwingi halimashauri yeye hatambui
Anafuatilia yanga kuliko wizara yake ndo kipaji chake
 
Na wakubali tu ukweli, serikali ya ccm haina uwezo wa kuajiri wahitimu wote! Maana ilishafanya makosa huko nyuma. Hivyo kilichobakia kwa sasa kwa upande wao, ni kujiajiri tu!

Kinyume na hapo, watachelewa sana kupiga hatua kimaisha. Huku mtaanu niliko, kuna wahitimu kibao tu, wameamua kujiongeza kufanya shughuli mbalimbali. Hivyo na wahitimu wengine, waunge tu tela. Muda unakwenda.
 
Bashungwa asilaumiwe. Serikali imejibebesha mzigo mzito usiyo na tija.

Mchawi wa ajira za ualimu ni ELIMU BURE.

Kwanini serikali inatumia gharama kubwa sana kulipia gharama za elimu bure nchini, inasomesha watu kisha wanaishia kuwa bodaboda nk.

Ondoa ELIMU BURE, wazazi walipie gharama muone ajira za ualimu zitarudi za kutosha kama enzi za JK wa II.

Watoto wa wazazi wasio na uwezo kabisa ndiyo wasome BURE. Watoto wengine walipe ada, na michango yote.

Ada, michango inayolipwa + hii hela mnayotoa kwenye elimu bure = ajira za kutosha kada ya ualimu.
 
Mheshimiwa raise pole na majukumu na hongera kwa kuupiga mwingi
Kuna changamoto kwenye timu yako ambayo lazima ufanye mabadiriko ya lazima.
Waziri wa tamisemi bashungwa hawezi nafasi uliyompa ni kubwa mno.
Kuna kilio mtaani juu ya ajira za walimu zilizotoka hii sitaki kulizungumzia
Kuna selection mbovu sana za kidato Cha Tano sijui kama anajua
Kuna ongezeko la upigaji mwingi halimashauri yeye hatambui
Anafuatilia yanga kuliko wizara yake ndo kipaji chake
Shida iko hivi waziri wa TAMISEMI ana Fanya kazi za wizara ya Afya na elimu wakati mmoja hivyo anakuwa na majukumu mengi yanayomzidi mfano kutangaza matokeo na selection za form five hizo ni za waziri wa elimu kwa maoni yangu.Sijui kwa nini sasa tuna waziri wa afya na elimu.Kwa maoni yangu kama TAMISEMI inafanya majukumu Yao basi wasiwepo badala yake tuwe na katibu mkuu TAMISEMI afya na katibu mkuu TAMISEMI elimu
 
Ni muda Sasa wa Serikali kuongeza vigezo vya kujiunga elimu ya juu yaani iwe div 1 tu, Diploma waliopata ufahulu wa div 2 tu. Pia vyuo vya ualimu vya chini, kati na vya juu vipunguzwe, vingi viwe vyuo vya ufundi na kilimo kwa vitendo na si kukalili maandishi itasaidia vijana kujiajiri na kupunguza kundi kubwa la vijana wanaohitimu kuwa tegemezi wa ajira za Serikali.
 
Back
Top Bottom