Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

WWa
Na wakubali tu ukweli, serikali ya ccm haina uwezo wa kuajiri wahitimu wote! Maana ilishafanya makosa huko nyuma. Hivyo kilichobakia kwa sasa kwa upande wao, ni kujiajiri tu!

Kinyume na hapo, watachelewa sana kupiga hatua kimaisha. Huku mtaanu niliko, kuna wahitimu kibao tu, wameamua kujiongeza kufanya shughuli mbalimbali. Hivyo na wahitimu wengine, waunge tu tela. Muda unakwenda

Wamefanikiwa?
 
Back
Top Bottom