Labda ungeanza kutafuta maana ya kituo cha mabasi (bus station) na uendeshaji wake ndio uandikeStendi ya Magufuli ni Ndogo mbona viongozi wa kisiasa hawa wagumu kuelewa!?
Hivi abood, Alsaedy, Shabiby wakaleta gari zao kwa wakati mmoja si wanajaza stendi yote! Tuwe na busara
We
Wenye kupambana na Hali Yao wanatamani Mabasi yawachukue karibia na wanakoishi, ila wanasiasa wasiojua ukubwa WA dar, na ambao wanawachanganya wenye mabasi waliotoa huruma kuwasaidia wananchi wao wapo dodoma wanasababishia Dar matatizo, huyu Waziri sijui anatafakari vipi!?
Tunawasaidia nyie Walala hoi msianze kuleta vipingamizi...Sisi hatutumii hizo stendi zenu tunapanda Ndege au ma V8.Hapo ambapo hakuna choo?
Sasa Mabasi yalikuwa yananyoosha, na ushuru haulipwi, ndio hoja ya Waziri
Tatizo moja la stendi ya Magufuli ni kwamba haliko accesible kwa mabasi madogo yanayoleta na kupokea wasafiri.
Magufuli alisema anatambua ile ni stendi ya wanyonge na akataka iwahudumie accordingy.
Sasa watu wanaosafiri na mabasi ya mikoani hawaletwi pale au kupokelewa pale na ma landcruisers binafsi.
Lakini stendi kuu ya daladala, Mbezi Louis, iko opposite side of the highway. Wengi watapondwa na magari.
Tatizo la nchi yetu, watu wanao design miundombinu na mifumo mbali mbali ya umma, wao hawaitumii, kwa hiyo hawajui inavyofanya na isivyofanya kazi.
Disastrously poor designing.
Stendi ile haina miundombinu accessible. Ingetakiwa eneo liwe na accessible train au dalalala za kuelekea mjini.
Anadhani kila MTU anamiliki Mavieite !!Sijui huyu Waziri anamfurahisha nani watu wanaamka saa Tisa hawajui watafikaje huko Magufuli!? Yeye ana vx anajifanyisha kuwatetea!?
Exactly, ndivyo wanavyotuchukulia !!Tunawasaidia nyie Walala hoi msianze kuleta vipingamizi...Sisi hatutumii hizo stendi zenu tunapanda Ndege au ma V8.
Kama ni suala la kwenda choo Dreva atasimama huko njiani mtaingia vichakani mchimbe dawa.
Yaani kuna watu wa ajabu mtu anafurahia bila kuangalia kuna watu wanatoka Kigamboni na basi kama kilimanjaro linatoa huduma huko kuwapunguzia garama na usumbufu fikiria mtu anayetoka saa basi saa 12 anaishi kigamboni. Kama issue ni kuingia Stendi Mbezi wafanye kama stendi ya Pwani Gari inaingia kuchukua abiria na kutoka. Au mnataka watu walipe nali ya taxi kubwa kuliko nauli ya basi?Mtoa mada unafurahia ujinga tu bila kutumia Busara, Basi likianzia Mbagala halafu likaingia hapo Magufuli likalipa ushuru kama kawaida nini kitapungua? Kuna abiria wanatoka mbali sana kumbuka.