PreGE2025 Waziri Bashungwa: Namuagiza IGP Camilus Wambura kuhakikisha wanaomkashifu Rais mtandaoni 'wanashughulikiwa'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
753
Reaction score
1,699
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

​
 
Hiki ndio CCM mnajua best, kushughulikia watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Huyu jamaa kama siyo msukuma, basi achunguzwe uraia wake!
 
Goli la mama ni udhalilishaji Tosha kwa rais.

Au ni mie tu mawazo yangu ndio yanaendaga mbali nikisikia huo msemo?

Sio siri huwa nachukia sana kusikia hiyo kauli, tunadharirisha utu wa mtu jamani.

Atleast tungesema ushindi wa mama.
 
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Huyu waziri Bishungwa ndiyo waziri wa hovyo kupata kutokea Tanzania
 
Bishungwa ni ibirisi n Dikteta hatari sana anafikiri atakuwa waziri milele hajui kuwa madikiteta pia hufa
 
Sasa bashungwa anajivunjia heshima. Na ameingia kwenye kundi la wapumbavu
 
Kweli madaraka yanalevya, na nimeamini hakuna wizara ngumu km ya mambo ya ndani, ukiwekwa hapo jua ni kikaango.

Inno ndo bas tena, kashajiharibia kabisaa, huyu aliyekua hana doa, leo ameliweka mwenyewe kwa utashi wake. Lol

Yajayo yanatisha zaidi.
 
Back
Top Bottom