PreGE2025 Waziri Bashungwa: Namuagiza IGP Camilus Wambura kuhakikisha wanaomkashifu Rais mtandaoni 'wanashughulikiwa'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Goli la mama ni udhalilishaji Tosha kwa rais.

Au ni mie tu mawazo yangu ndio yanaendaga mbali nikisikia huo msemo?

Sio siri huwa nachukia sana kusikia hiyo kauli, tunadharirisha utu wa mtu jamani.

Atleast tungesema ushindi wa mama.
Wengine huliita "bao la mama". Nchi ina ujinga mwingi sana Aisee!
 
Siku zote nilimuona huyo Bashungwa kuwa ni jamaa Msomi na kidogo anajielewa, lakini kumbe ni Bogus kabisa Aisee.
 
Nadhani kabla mtu hajawaza kugombea urais lazima apitie kwanza wizara ya mambo ya ndani,hii wizara ni interview tosha
 
Pambaneni na ufisadi na utekaji kwanza hayo mengine mtazidishiwa
Mbunge wa CCM kupitia jimbo la Kisesa nchini Tanzania, Luhaga Mpina ameonya kwamba taifa hilo halitaweza kuzimaliza changamoto zinazolikabili kwa kuongea kwa lele mama na kutokuambizana ukweli. Amesema hakuna kiongozi mwenye kinga ya kutokukosolewa.

"Hata mahala palipoharibika, mnapongezana. Watu wanatekwa, nyinyi mnapongezana. wananchi wanatekwa.. anatekwa mwananchi wa kwanza, anatekwa wa pili, wa tatu, anatekwa mwananchi wa 80, bado waziri wa mambo ya ndani yuko ofisini!!" alihoji Mpina

Amesema taifa linawezaje kuwa na waziri anayejulikana, halafu anayeleta madhara hajulikani? "Inawezekanaje kuwa na wizara ya mambo ya ndani ambayo kazi yake ni kushughulika na wahalifu, halafu wahalifu hao wakavalishwa jina "wasiojulikana Ni lazima kama taifa tuwe na hasira na mambo yasiyo ya kawaida."

"Waliompiga Fr. Kitima tena kwenye makaazi ya maaskofu hadi leo hawajulikani.. halafu waziri yule bado yupo.. IGP bado yupo, vyombo vya dola vyote vipo na wananchi wengine wanaolia kwa ndugu zao kutekwa na kuumizwa nao wanaendelea kulia. Halafu inafika mahala tunaanza kuzungumza kwa kubembelezana kwa kuhofia watu kupoteza ajira au kutekwa."

Amesema haiwekani kuwa na taifa la namna hiyo na kwamba ni lazima viongozi wanaohusika wajirekebishe au waachie ngazi kama wameshindwa kusimamia mustakabali wa amani ndani ya nchi, huku akionya tabia ya kushabikia mambo mabaya huku lawama zikiwaangukia wanaolaani visa vye utekaji na watekaji wakiendelea kupongezwa.
 
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Ino

Mheshimiwa Innocent Bashungwa, ni mmoja wa mawaziri wanaomcha Mungu kweli kweli, na mwaminifu katika Baraza la mawaziri Tanzania.

Nawakilisha !
 
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Ikumbukwe hivi vyeo hupita
 
Nilihitaji kuona Kauli za Kijasiri kama hizi kutoka kwa Mheshimiwa Waziri na viongozi wengine mbalimbali. Mimi na watanzania wote tusikubali kuona Rais wetu akidhalilishwa na kutukanwa Hovyo. Tusimame imara kumtetea na kumsemea Rais wetu Mpendwa.
Labda mpendwa kwako na ukoo wenu,hv uchawa utaacha lini
 
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Hivi Wana siasa mbona wanapenda kulitumia vibaya Jeshi la Polisi , wakati wa kosa ni wao. Au mmekosa wa kumfunga paka kengele. Basi mvishukuru vyombo kama mtandao ya kijamii kuwaeleza mapungufu yenu
 
Wakosoaji ni wengi, wanauhakika wata wamaliza?
Labda waongeze vikosi vya watekaji vilizidi hata jeshi la wananchi kwa numbers wawe wanachinja wananchi wakosoji in industrial scale.
 
Back
Top Bottom