PreGE2025 Waziri Bashungwa: Namuagiza IGP Camilus Wambura kuhakikisha wanaomkashifu Rais mtandaoni 'wanashughulikiwa'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama namwona Mafwele anavochekelea akiwa chooni

Nilitegemea wabunge na waziri wangekemea utekwaji na kuagiza watu wasiojulikana wachukuliwe hatua, imekuwa tofauti

Durtete pia alikuwa na wafuasi, leo yuko wapi
 
Nilihitaji kuona Kauli za Kijasiri kama hizi kutoka kwa Mheshimiwa Waziri na viongozi wengine mbalimbali. Mimi na watanzania wote tusikubali kuona Rais wetu akidhalilishwa na kutukanwa Hovyo. Tusimame imara kumtetea na kumsemea Rais wetu Mpendwa.
The hottest places in hell are reserved for those who, in times of moral crisis, maintain their neutrality.– Dante Alighieri
 
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Huyu naye na domo lake kama pindo la gunia anaongea utopolo gani.
 
Yaan huyu angejua vijana na watu huku mtaani wanamkubali, asingeingia ktk hii doa.

Inno ameharibu kabisa reputation yake. Lol
Hajawahi kuwa na reputation yoyote...Huyo unaemuona ndio yeye sasa..
Amini nakuambia he was just pretending...na huyu ilikuwa rahisi kwa kumtazama uso wake...
All in all kwa teknolojia hii kijana atachemsha
 
Ino down kwa kuungana na yule muuza nyapu kuelekeza kenge washughulikiwe.
 
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Hizi nguvu za kumtetea mtu zingewekwa kwa ajili ya kutetea taifa letu la Tanganyika. Mtu hufa hupata maradhi hupata tamaa za kuibia watu nakadhakika. Lakini Tanganyika yetu imerogwa aiseee. Sio kwa majinga haya yasiyo jua tofauti ya kuipigania nchi na kumpigania mtu. Nchi yetu ila majizi yanateteana.
 
Ino down kwa kuungana na yule muuza nyapu kuelekeza kenge washughulikiwe.
Screenshot_2025-05-27-13-06-44-1.png
 
Kumbe rais anafanya kazi ya kutekeleza ilani ya CCM?

Mimi nilijua anawatumikia watanzania ambao tunaambiwa anamwaga mabilioni kwenye magoli ya mama, mabondia wa mama, daftari la mama n.k
3CB9F249-E459-4A85-911B-7C4C93F8F1D6.jpeg
 
Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

=====

Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;

"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.

"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.

"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.

"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."

Bunge Fulu Gospo Feloshipu Chechi
 
Wizara ya mambo ya ndani ni mfupa mgumu sana.... Katika Taifa la wadanganyika.
 
Back
Top Bottom