Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Hapo mwishoni amesema "niwahakikishie hili tunakwenda kulifanyia kazi..."
Huyo mhangaza sijui mnyambo hana akili kabisa🤣🤣🤣Unamuagizaje mtu mwenye bilion kwenye acc aseee 😁
Tatizo yule bibi ni mjinga kupindukiaHiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Dah…nchi ngumu sana hii…hatimaye inno amefikiwa…wapo watatu ambao kati yao mmoja lazima tuende nae 2030 na wote wana sifa na mrengwa wa kule(dini)…emmanuelly, Dotto pamoja na inno…sasa maskin naona na najua hajapenda kufanya hivi lakini amefikiwa…hii vita kali sana..
TCRA wamcheka tuHapo mwishoni amesema "niwahakikishie hili tunakwenda kulifanyia kazi..."
Safi kabisa,Rais ajayeHiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
KumechangamkaHiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
AMani yetu ni TUNU ya Taifa. Anaetaka tuishi kama Somalia au Libya ni vema Polisi wafanye kazi yaoHiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Sawa na wewe pia badoBado wewe!
Tuna watu wapuuzi kikuziHiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Wametuita kenge tena bungeniMuwakamate pia wabunge wanaodhalilisha wananchi 🐼
Kwa hiyo polisi wanafanya kazi kwa maelekezo ya waziri na sio pgo?Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.

Labda kwenye ndoto.Sawa na wewe pia bado