Baba Linah
Senior Member
- Aug 29, 2021
- 113
- 171
Hvi hawa jamaa hawana kabisa hata aibu au wenyewe wanatumia ubongo toleo la Kuzmenko wa Les
Hata makalio ya mama ya pale Mlogazila ni matusi kwa rais.Goli la mama ni udhalilishaji Tosha kwa rais.
NotedBashungwa ni mnyambo sio muhaya
Wahaya wanapatikana Bukoba Mjini na vijijini Ila Karagwe anakotoka Bashungwa ni wanyambo
Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa. Kila wanabyojitahidi kumuokoa ndiyo wanazidi kumzamishaHiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Hii nchi wanaoitafuna na kuifaidi wakila na kusaza, wakizungumza wanaonekana ndio wenye njaa zaidi kuliko raia wa kawaida.Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Anampambania mama mkweHiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Wakosa adabu mtakomaHuyu si ndio alienda Mbeya kisha mdude akapotezwa? Tuna Watu Wapumbavu Sana
Sasa kitaani kitanuka kama kinyesiNime msikitikia mno, Inno kapatwa na nn? Khaaah
Gwajima kasema vijitu visivyo na akili kazi yao kusemelea tuu. Sijui hajamsikia?Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Wakosoaji ni wengi, wanauhakika wata wamaliza?Wakosa adabu mtakoma
Mkuu kwa akili yako, hali na mazingira ya kawaida Rais na raia wa kawaida nani anatakiwa kumtetea na kumlinda mwingine???Nilihitaji kuona Kauli za Kijasiri kama hizi kutoka kwa Mheshimiwa Waziri na viongozi wengine mbalimbali. Mimi na watanzania wote tusikubali kuona Rais wetu akidhalilishwa na kutukanwa Hovyo. Tusimame imara kumtetea na kumsemea Rais wetu Mpendwa.
Yaan huyu angejua vijana na watu huku mtaani wanamkubali, asingeingia ktk hii doa.Sasa kitaani kitanuka kama kinyesi
Shida ya uongozi wa kupewa na sio kuchaguliwa na wananchi.Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Shida ya uongozi wa kupewa na sio kuchaguliwa na wananchi.Hiki ndio CCM na Serikali mnajua best, 'kushughulikia' watu, kuhakikisha wanajuta kuwachagua lakini sio kuwajibika na kuhahakisha wananchi wanapata huduma nzuri na kujiona wapo kwenye nchi inayozingatia sheria na yenye utawala bora.
=====
Waziri Bashungwa wakati akihitimisha wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema;
"Imechangiwa kwa uchungu mkubwa sana namba ambavyo watu wanatumia mitandao vibaya kumdhalilisha Rais na ikasemwa vizuri hata kama content inazalishiwa nje, inasambazwa na watanznia. Nitumie nafasi hii kumuagiza Camilus Wambura kwa kushirikiana na TCRA waongeze nguvu kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa.
"Haiwezekani mtanzania watu wanataka kuchoma amani ya nchi yetu wewe unakuwa sehemu ya kuchoma nchi yako, hatutakubali. IGP pamoja na makamanda mkae kikao maalum, mbainishe changamoto zilizopo, wabunge tupeni inputs hata kwa siri ili tushughulike na hawa watu.
"Haiwezekani Rais anafnaya kazi nzuri, utekelezaji wa ilani ya ccm umefanyika haijapata kutokea halafu inatokea dakika za mwisho watu wenye wivu wanawatumia watu wachache kutuvuruga na kusababisha watanzania tuanze kunyoosheana vidole.
"Hatutakubali kuona Rais anadhalilishwa na huku vyombo tunavyo na teknolojia ipo ya kudhibiti hawa wahalifu, hili tunaenda kulifanyia kazi na niwahikikishie vyombo vyetu viko timamu."
Waachwe watukane tu!?..hilo haliwezekaniYaan huyu angejua vijana na watu huku mtaani wanamkubali, asingeingia ktk hii doa.
Inno ameharibu kabisa reputation yake. Lol