Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Jiji linatakiwa kuweza kujigharamia miundombinu yake. Sasa nini maana ya jiji kama haliwezi kujigharamia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maneno machache sana, Mtoa mada hajielewi na hajui anataka nini, huyu ndiyo wale wanaamini mbunge analeta maendeleo na siyo serikali inayoweka mazingira mazuri wananchi kujikwamua.Nilikuwa ninaitafuta hii comment.
Barabara anazozitaja mtoa mada zipo chini ya TARURA ambayo kimsingi wazara husika ni TAMISEMI ambayo Waziri wake ni Mchengerwa.
NB: Hata kama Bashungwa alitoa ahadi akiwa waziri wa TAMISEMI, bado hastaihili kulaumiwa.