Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Alikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni ushamba,amesema.
Sawa,labda ni ushamba. Lakini ushamba ndio unaoliokoa Taifa. Watu washamba ndio wanaotunza maadili mema ya Taifa,siyo hao watu wanaotaka kufanya mambo ya "kisasa".
Fikiria inakuwaje, kwa mfano,kama umeiweka simu yako pahali, halafu ghafla imetoweka,na Ina mashaka kwamba imeibwa.
Unasikiliza kwa makini kusikia kama kuna mtu ataongea kuhusu washamba.
Ndivyo kama ilivyo kwa huyu Waziri Biteko. Kuongea kwake kuhusu washamba kunaleta mashaka. Hizi ni ambiguous statements at best ambazo zinaharibu morals za watu