Waziri Biteko awaasa wapambe wake kuacha ushamba

Alikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni ushamba,amesema.

Sawa,labda ni ushamba. Lakini ushamba ndio unaoliokoa Taifa. Watu washamba ndio wanaotunza maadili mema ya Taifa,siyo hao watu wanaotaka kufanya mambo ya "kisasa".

Fikiria inakuwaje, kwa mfano,kama umeiweka simu yako pahali, halafu ghafla imetoweka,na Ina mashaka kwamba imeibwa.

Unasikiliza kwa makini kusikia kama kuna mtu ataongea kuhusu washamba.

Ndivyo kama ilivyo kwa huyu Waziri Biteko. Kuongea kwake kuhusu washamba kunaleta mashaka. Hizi ni ambiguous statements at best ambazo zinaharibu morals za watu
Waziri yuko sahihi. Viongozi serikalini wana tabia ya kuhodhi magari. Hii inachangia sana utendaji mbovu katika tasasi. Utakuwa magari ya wakurugenzi yamepaki siku nzima wakati watendaji wanakosa usafiri wa kwenda kukagua miradi au kusambaza taarifa. Na zamani ilikuwa wakati wa Bunge, kila mkurugenzi anaenda na gari lake Dodoma na taasisi inabaki bila usafiri! Hao wakurugenzi wangeweza kupanda gari moja lakini hawataki.
Waziri hajakosea kuita tabia kama hizi ushamba.
Ushamba huo ulifika mahali kuwa ni vyoo vya mabosi peke yao ndio vilikuwa vinahudumiwa. Hali ambayo ilifanya harufu kutoka vyoo vya jumla kuenea katika ofisi nzima!

Amandla...
 
Kamba yako inaishia kimara korogwe halafu unataka kula vitu vya mbezi...

You are not serious
 
Waziri yuko sahihi. Viongozi serikalini wana tabia ya kuhodhi magari. Hii inachangia sana utendaji mbovu katika tasasi. Utakuwa magari ya wakurugenzi yamepaki siku nzima wakati watendaji wanakosa usafiri wa kwenda kukagua miradi au kusambaza taarifa. Na zamani ilikuwa wakati wa Bunge, kila mkurugenzi anaenda na gari lake Dodoma na taasisi inabaki bila usafiri! Hao wakurugenzi wangeweza kupanda gari moja lakini hawataki.
Waziri hajakosea kuita tabia kama hizi ushamba.
Ushamba huo ulifika mahali kuwa ni vyoo vya mabosi peke yao ndio vilikuwa vinahudumiwa. Hali ambayo ilifanya harufu kutoka vyoo vya jumla kuenea katika ofisi nzima!

Amandla...
Upo sahihi. Wanaopinga wameguswa na maneno ya Waziri.

Hawa wanaopinga ni kwa sababu ya wao kuwa "keyboard warriors", vinginevyo ni wahusika halisi walioguswa na maneno ya Mhe. Waziri.
 
Waziri yuko sahihi. Viongozi serikalini wana tabia ya kuhodhi magari. Hii inachangia sana utendaji mbovu katika tasasi. Utakuwa magari ya wakurugenzi yamepaki siku nzima wakati watendaji wanakosa usafiri wa kwenda kukagua miradi au kusambaza taarifa. Na zamani ilikuwa wakati wa Bunge, kila mkurugenzi anaenda na gari lake Dodoma na taasisi inabaki bila usafiri! Hao wakurugenzi wangeweza kupanda gari moja lakini hawataki.
Waziri hajakosea kuita tabia kama hizi ushamba.
Ushamba huo ulifika mahali kuwa ni vyoo vya mabosi peke yao ndio vilikuwa vinahudumiwa. Hali ambayo ilifanya harufu kutoka vyoo vya jumla kuenea katika ofisi nzima!

Amandla...
Msumari wa moto umepigilia kwenye kidonda kibichi.
 
Back
Top Bottom